Search results

  1. zuga boy

    Phone4Sale Karibu ujipatie Oppo na Nokia kitochi kwa Bei ya jumla

    Nipo Igunga naihitaji oppo A57
  2. zuga boy

    Natafuta Binti wa kuuza duka la nguo za mitumba

    Kuna ndugu yangu namba zake ni +255684666539
  3. zuga boy

    Ulipo kuna umeme muda huu?

    Igunga chalii
  4. zuga boy

    NAHITAJI SCREEN YA PC AINA YA LENOVO

    Uko mkoa gani boss?
  5. zuga boy

    NAHITAJI SCREEN YA PC AINA YA LENOVO

    Wadau naomba kujua mahali nitakapopata scree ya pc
  6. zuga boy

    Elimu ya bure Kuhusu umeme wa jua

    Nashukuru sana kwa msaada wako mkuu, ninacho fikiria ni kutafuta fundi wa kupima volt kutoka kwenye panel maana naona control charge haina tatizo.Maana nimeazima sola nyingine watt 100 ina charge vizuri kabisa.
  7. zuga boy

    Elimu ya bure Kuhusu umeme wa jua

    Sehemu nilipo ni nusi jangwa na jua ni kianzia asubuhi mpaka jioni
  8. zuga boy

    Elimu ya bure Kuhusu umeme wa jua

    Charger control ipo,na taa ya kuonesha panel imeungwa inaonesha na taa ya kuonesha kuwa betri inaingiza chaji inawaka lakini haioneshi kujaa hata ifike jioni,na jua ni kutosha maana nipo katika ukanda wa nusu jangwa
  9. zuga boy

    Elimu ya bure Kuhusu umeme wa jua

    Betri ni dry, ila nikienda kuchaji kwenye sola nyingine ina chaji, yaani ni kwamba moto ni mdogo sana unaotoksa Katika sola,
  10. zuga boy

    Elimu ya bure Kuhusu umeme wa jua

    Wadau naomba nijulishwe, Nina betri N100,na Sola Watt 150,nimetumia muda wa mwaka mmoja, lakini kwa sasa solar haichaji betri tena, nimejaribu kutoa kwenye system ya connection ili nichaji betri peke yake lakini naona bado haichaji,Natumia taa 3 na kuchaji CM.
  11. zuga boy

    Uliza swali lolote kuhusu solar PV and solar pumps

    Nashukuru sana mkuu, kwa hivyo nikichukuwa waya mbili za 2mm itafaa?
  12. zuga boy

    Battery yangu ya solar inaisha nguvu haraka

    Kwa hiyo nifanye nn? Maana nimejaribu, kuchaji bila kaunganisha chombo chochote lakini bado,haichaji
  13. zuga boy

    Barua zote za wanaounga juhudi zimeandaliwa na mtu mmoja?

    Ni Tanzania pekee, mbunge ana jiudhuru ubunge, na kugombea tena ubunge
  14. zuga boy

    Uliza swali lolote kuhusu solar PV and solar pumps

    Waya mzuri wa kutoa moto kutoka kwenye sola kwenda kwenye betri ni aina ipi?
  15. zuga boy

    Battery yangu ya solar inaisha nguvu haraka

    Sola yangu watt 150,na betri N 100,sola kwa sasa haipeleki moto kwenye betri,tatizo ni nn?
  16. zuga boy

    Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    Ukitaka kujua unakokwenda, muulize anaerudi
  17. zuga boy

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mwl Elisia kapongo wa igunga idara ya elimu msingi anatafuta mwl wa kubadilishananaye kutoka Urambo.Mawasiliano 0768067426 au 0673067426
Back
Top Bottom