Search results

  1. Prophet

    Bandari ya Azam na utaratibu wa kizamani

    4. Aruhusu kulipia huduma kwa mobile money. Kama unaweza kukata tickets online kwanini mpaka leo hajaweka huduma ya kulipia kwa mobile money?
  2. Prophet

    Hili jengo hapa Dodoma karibu na posta mbona limetelekezwa?

    Ilikuwa inasemekana limejengwa chini ya kiwango. Hata lile la pale bunge sasa kuna tawi la benki nalo lilikuwa kama hilo na lilishaendelezwa. Hata hilo inasemekana limenunuliwa na wizara fulani na linatengenezwa
  3. Prophet

    Ndalichako aingilia kati wanafunzi waliofutiwa usajili UDSM

    Kipi no bora zaidi ya UDSM kwa mtazamo wako? Weka na takwimu pia
  4. Prophet

    Kama Mo angevaa apple watch kama Khashoggi tungejua watekaji akina nani

    Yeye alijua kinachoweza tokea ndomaana akaweza set record na simu akaiacha. Mo ilikiwa ni kustukiza, hata angevaa asingerekodi, achilia mbali wangemvua na kuizima kama si kuiharibu
  5. Prophet

    Mkasa wa kweli: Kisiwa cha harishi

    Nashangaa mpaka wanabaki wawili wanashindwa kumvizia anapokuja waifunge chupa. Anyways, ndo watakachofanya.
  6. Prophet

    jibu la Adhana hili hapa

    Tatizo ninaloliona mimi ni pale mtaa mmoja unapokuwa na misikiti mitano na wote wanashindana kuadhini. Wangekuwa walau wanachagua msikiti mmoja tu ndo uadhini na waamin wanaenda nyumba za ibada. Pia kuna waadhini wastaarabu bana, sauti ya taratibu na haina bugdha, tatizo ni wale wanaotoa...
  7. Prophet

    Sportpesa kukarabati nyumba ya madaktari Zanzibar

    Hivi zanzibar wanakubari pesa za kamari kumbe
  8. Prophet

    Utalii wa Kenya waongezeka kwa asilimia 20% pamoja na chokochoko za uchaguzi

    Utakuwa umeongezwa na utalii wachokochoko za uchaguzi. Watalii walienda kujionea chokochoko za uchaguzi tu
  9. Prophet

    Mbeya: Kesi ya Joseph Mbilinyi(Sugu) na Masonga yaunguruma! Warudishwa rumande mpaka Februari 9, 2018

    Hivi wakali msomi anakuwa na sifa zipi ? Na wasio wasomi wapo vipi pia ?
  10. Prophet

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Slot yake ina atleast team mbili. Bila shaka ulimaanisha ATMOST TEAM MBILI
  11. Prophet

    Msaada kuhusu timing ya kumpa ujauzito mwanamke

    Download app inaitwa maya. Itakusidia. Jinsi ya kuitumia jifunze ni rahisi sana
  12. Prophet

    Nimegundua siri kubwa ambayo bloggers wakubwa hawaisemi

    Blogging ni kuweka ujuzi na taarifa wazi kwa watu. Hata hicho unachosema umegundua kingepaswa kuwa post(s), sasa kama huwezi andika kitu kaa hicho ambacho wewe umekisoma kutoka kwa mtu aliyekiweka wazi napata shaka kuamini wewe ni blogger. Huko huwa unaandika nini? Au posts za uchoyo? No...
  13. Prophet

    Meseji ya mke wangu kwa mama yake inamtuhumu mama yangu kuwa ni mchawi

    Huyo kakutumia kukupa ujumbe aloshindwa kukwambia uso kwa uso
  14. Prophet

    Wale Mnaotuponda Watumiaji wa Tecno....

    Hivi man city ipo London ee? Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Prophet

    Zanzibar ilipaswa kuwa zaidi ya Mauritius!!

    Sasa kwanini hawaendelei kulima karafuu kama miaka hiyo ya sitini? Sent using Jamii Forums mobile app
  16. Prophet

    Neymar Jr amekurupuka kwenda PSG

    Miaka mitano ijayo dogo atakuwa na 30. SIJUI UNANIELEWA? Pale barca lazima awe nyuma ya messi na umri unaenda, ukizingatia hujui kesho yako. Pale hawezi kuwa mfale mbele ya king leo SIJUI UNANIELEWA? Kwenye mpira wa sasa ni kupata muda wa kucheza, kupata vikombe na mkwanja, angalia madogo kama...
  17. Prophet

    Kutoka Tanga: Rais Magufuli awapatanisha Clouds Media Group na Paul Makonda

    Alikuwa anafanya small things Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom