hawa maaskofu na wachungaji ndo wezi wa jasho la wananchi makanisani halafu wanajifanya kumponda lowasa mbona wachungaji waliopiga fedha za escrow hawawaxemi,huo ushoga mkileta huku zenji wallah mtafirwa
mimi sitaki kuamini kuwa serikali inashindwa kudhibiti hwa watoto sababu kama ni kundi halijaanza jana wala leo kwann vyombo vya usalama vinalifumbia macho swala hili.
msiwe wageni wa siasa za bongo,hao wamejitoa kwa muda ili kuwapumbaza wapinzan wa lowasa baadae wote watajifanya kuachana na kugömbea na kumuunga mkono white hair.mtakuja niambia
Dah,ndugu hapa umechemka kama umetumwa basi umechemka maana siasa ya bongo ni kizungumkuti. Huyo unayemuona anafaa leo akishakaa madarakan utamuona hafai tena.co unapøchangia ujiulize kuwa kwann kikwete leo anaonekana dhaifa wakati ndo aliyesemekana jembe! Acha kutumika na watu wachache kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.