Search results

  1. savius

    Diamond Platnumz badili mwenendo before it’s too late!

    Umetimiza wajibu wako kama katiba ya nchi inavyosema,yakitokea ndo watafukua nyuzi kama hizi na kusema "yalisemwa haya".waliojirani wamshauri huyu dogo,mabadiliko physically yanaonekana
  2. savius

    Mambo ya JF na zama zake

    Naunga mkono hoja👏👏👏 maana sio kwa udambwi dambwi
  3. savius

    Ushauri wa Bure kwa Director Modestus Francis Kipilimba

    Makaburi yanafukuliwa
  4. savius

    Waraka mpya kwa wanaume wote

    Mkuu kwa mujibu wa mrejesho wa kikao Cha Jana hili limezingatiwa
  5. savius

    JamiiForums Usiku wa manane

    2:29am
  6. savius

    JamiiForums V.A.R

    mfilisti pita huku
  7. savius

    Imekuaje wanaume mmepunguza kuhonga

    Siku hizi tunanunua hatuongi mama
  8. savius

    Ipi ni tofauti iliyopo kati ya Toyota Crown Loyal Family na Toyota Crown Athlete?

    Nimekuelewa vizuri,nilikuwa najiuliza tatizo ni Nini?,nimepata darasa
  9. savius

    Warumi

    R I p
  10. savius

    Mpenzi wa zamani wa P. Diddy, Kim Porter afariki dunia

    [emoji848][emoji848][emoji848] ubuyu wa Ubeparini.Jf idumu
  11. savius

    Wakazi wa Itumbi Chunya tunahitaji lami

    Mkuu tusubiri kwanza barabara ya kutoka Mbalizi,mkwajuni mpaka saza kwanza halafu tutaiangalia na hiyo
  12. savius

    ATCL yatoa ufafanuzi kuvurugika kwa ratiba za ndege zake, yasema nyingi zilikuwa kwenye matengenezo makubwa

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  13. savius

    Mkurugenzi TEMEKE naye akamatwe na ahojiwe

    Mkuu kasimama mbele pilato leo,Mungu mkubwa kayavurunda sana walikua wanamwangalia tu,leo kakanyaga bahati mbaya wanamrudishia makusudi
  14. savius

    Mkurugenzi TEMEKE naye akamatwe na ahojiwe

    Mkuu,Mungu mkubwa jamaa kasimama mbele ya pilato leo
  15. savius

    Mwenye CV ya Chief Prophet Nicolaus Suguye naomba aiweke hapa

    Nimechungulia siku nyingi na mimi nimjue huyu mchunga kondoo wa Bwana
  16. savius

    Kati ya Chunya na Ubaruku ni wapi panafaa zaidi kwa biashara ndogondogo kama mitumba na migahawa?

    Quote kwa mkoa wa Songwe nenda kafanye utafiti wilaya ya Songwe na vijiji vyake,kwa mkoa wa mbeya kachungulie wilaya ya Chunya na vijiji vyake.
  17. savius

    Kati ya Chunya na Ubaruku ni wapi panafaa zaidi kwa biashara ndogondogo kama mitumba na migahawa?

    Nakushauri angalia Chunya au wilaya ya Songwe na vijiji vyao,hizo biashara ni mzunguko wa mwaka mzima sio za msimu
  18. savius

    JamiiForums inastahili tuzo, imetusaidia wengi

    JF ndo chuo changu mimi mwenye elimu ya mtaa.Mungu akulaze mahala pema peponi
  19. savius

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Wakuu nipo kwenye mchakato wa kufungua kiwanda cha kusaga unga wa mahindi sembe na dona,tatizo linakuja kwenye soko,Kiwanda kitakua mkoa wa songwe
Back
Top Bottom