Search results

  1. THINKINGBEING

    Msaada:Nyerere akimzungumzia Msuya,IMF na World bank

    Kuna kipande cha video cha Mwalimu Nyerere akizungumzia tukio la Cleopa Msuya alipokutana na wakopeshaji wa IMF na benki ya dunia. Mwalimu anayataja mashirika na nchi zilizotukopesha halafu anasema Cleopa anaambiwa kaa hapo.... MSAADA 1.Kama una hiyo video clip tafadhali nisaidie niipate. 2.Kama...
  2. THINKINGBEING

    Walioikataa CCM wanatengwa au wanapendelewa?

    Kumekuwa na malalamiko mengi kwamba maeneo yaliyochagua upinzani nchini yanabaguliwa na serikali. Kuna waliolalamika kuwa hata wanapopatwa na matatizo serikali haitaki kuwasaidia kwa sababu tu walichagua upinzani. Hata hivyo jana katika tukio la Arusha ambapo waziri mkuu amegawa pikipiki...
  3. THINKINGBEING

    Lema akipona katika hili abadili mbinu zake katika siasa

    Siasa za kutengeneza matukio ya kujiongezea umaarufu zinaanza kumwendea vibaya Lema. Idadi ya watu waliojitokeza mahakamani katika kesi ya Lema leo imekuwa ndogo sana ukilinganisha na uhamasishaji uliofanyika. Picha zinazorushwa kutoka maeneo ya mahakama hazioneshi zile "nyomi" tulizozizoea...
  4. THINKINGBEING

    Kutekwa kwa Batuli kumenikumbusha Salma Said wa DW

    Nimejaribu kufuatilia kisa cha mwl.Batuli wa Arusha anayedaiwa kutekwa na watu ambao walimueleza kuwa wamechukizwa na alichomfanyia mkurugenzi wa Arusha. Nimeshindwa kuelewa sababu za watekaji kuweka wazi aliyewatuma tena ikiwa ni mtu wa hadhi ya mkurugenzi. Lakini pia nimeshangzwa na namna...
  5. THINKINGBEING

    Lawama hizi zaelekezwa kwa serikali kuhusu tetemeko.

    Nimepitia maoni mbalimbali ya wananchi kuhusiana na tetemeko lililoikumba kanda ya ziwa na hasa Kagera na nimeona serikali ikituhumiwa mambo kadha; 1.Kwamba ilipaswa kupitia mawakala wake(wengi wanataja TMA)iwe ilishatabiri na kuwatahadharisha wananchi kutokea kwa tetemeko hilo. 2.Kwamba idadi...
  6. THINKINGBEING

    Tumuige Maalim Seif ama Lowassa?

    Kufuatia kitendo cha maalim Seif kugoma kumpa Shain mkono kuna kamtindo kalianzishwa kakupiga picha za kuigiza tukio hilo huku ikishabikiwa kuwa ni kitendo cha kishujaa.
  7. THINKINGBEING

    Wanafunzi wanusurika baada ya bweni kuungua moto shule ya sekondari Lowassa

    Kufuatia kuungua kwa bweni la shule ya sekondari Lowassa iliyopo wilayani Monduli kwa mara ya pili ndani ya kipindi kisichozidi miezi sita,mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya hiyo amesema huenda mabweni yanachomwa na mizimu. Katika taarifa ya ITV mwenyekiti huyo amesikika akisema watawatafuta...
  8. THINKINGBEING

    Nguvu ya umma yafa kifo cha mende; BAVICHA wasarenda

    Hatimaye ile nguvu ambayo umma wa waTanzania umekuwa ukiitegemea pale watawala wanapofanya ndivyo sivyo imekufa rasmi baada ya BAVICHA kubariki hilo litokee. Falsafa ya nguvu ya umma/people's power ya CHADEMA kwa muda mrefu imetumika kuongoza harakati ambazo matokeo yake hayapaswi kupuuzwa hata...
  9. THINKINGBEING

    Lowassa is not opposition material

    Kabla ya ujio wa Lowassa CHADEMA wapinzani walikuwa wakikishambulia sana ACT kwamba si chama halisi cha upinzani na kina mpango wa kupokea Lowassa kuwa mgombea wake. ACT ambacho kilishajengewa sura ya usaliti kwa sababu ya kiongozi wake Zitto ambaye hapakuwa na shaka kuwa amesaliti upinzani...
  10. THINKINGBEING

    Kosa kuu la tatu la UKAWA

    CCM imepata mtelezo.Ikitaka kupitisha jambo lolote bungeni bila vikwazo vya upinzani inamuambia Tulia aongoze bunge. CCM sasa inaweza kuamua lini wapinzani wawepo bungeni na lini wasiwepo kwa kutumia msimamo wa UKAWA dhidi ya Tulia. Haya ni matokeo ya maamuzi ya hasira ya Mbowe. Yatagharimu...
  11. THINKINGBEING

    CUF: UKAWA tulishindwa Uchaguzi 2015 kwa kukiuka makubaliano

    Chama cha wananchi CUF kimejitokeza na kusema sababu ya UKAWA kupoteza uchaguzi wa 2015 ni ukiukwaji wa makubaliano yaliyowekwa na vyama vinavyounda umoja huo. Kauli hii ipo tofauti na imani ya wanaUKAWA wengi kwamba uchaguzi wa 2015 umoja huo ulishinda lakini CCM wakapora ushindi. Hii ni mara...
  12. THINKINGBEING

    Dr. Slaa alimburuza tu, ila Mbowe hakuchukia ufisadi

    Ushahidi unajidhihirisha Mbowe hakuwa akichukia mafisadi wala ufisadi bali yeye pamoja na baadhi ya viongozi wa CHADEMA waliburuzwa tu kufanya hivyo na Dr. Slaa. Baada ya Dr. Slaa kuondoka Mbowe na wenzake wameamua kuonesha sura zao kamili dhidi ya ufisadi watanzania wameona na dunia nzima...
  13. THINKINGBEING

    Nani kawakaribisha wadunguaji hawa nchini?

    Kikundi cha wanajeshi wadunguaji (snipers) wastaafu kutoka Marekani kinachojulikana kama Veterans Empowered to Protect African Wildlife (VETPAW) kipo nchini kikiendesha kile kinachokiita uwindaji wa majangili bila kibali cha serikali. Waziri wa maliasili na utalii Lazaro Nyalandu amesema...
  14. THINKINGBEING

    Utaratibu huu wa mahakama,siasa hizi na amani yetu

    Imani yangu juu ya taratibu za kimahakama imeingia dosari.Utaratibu uliowekwa ili haki ipatikane unaongozwa na lile jinamizi la bwana Darwin. Darwin yule aliyezungumzia kanuni za maisha ya wanyama mwituni( law of the Jungle) kwamba wenye nguvu ndio wenye haki ya kuishi(survival of the...
  15. THINKINGBEING

    Kufuatia uhuni uliofanywa dhidi yake Monduli, CHADEMA yazuiwa kufanya mkutano Mto wa Mbu

    Chama cha Demokarasia na Maendeleo wilaya ya Monduli kimepokea kwa masikitiko makubwa barua ya jeshi la polisi ya kuzuia kufanyika kwa mkutano uliotakiwa kufanyika Mto wa Mbu tarehe 30/12/2014 kwa madai kwamba mbunge wa Monduli ndugu Edward Lowassa atakuwa na ziara katika eneo hilo kuanzia...
  16. THINKINGBEING

    Uchaguzi S/Mitaa: Mkutano wa Lowassa Monduli waisha kwa zomeazomea na mlinzi wake kutishia watu bast

    Leo katika mkutano wa CCM wilaya ya Monduli mlinzi wa mh.Lowassa ilibidi atoe bastola kuwanyamazisha wananchi waliokuwa wakizomea wakati mbunge huyo alipotaka kumnadi Namelock Sokoine kwa ajili ya uchaguzi wa ubunge 2015.Wananchi walipiga kelele huku wakitaja jina la Sanare kuwa ndiye...
  17. THINKINGBEING

    Lowassa avamia mikutano ya CHADEMA Monduli

    Katika hali ya kushangaza mbunge wa Monduli mh.Edward Lowassa ameingilia ratiba ya mikutano iliyopangwa kwa ajili ya kampeni za serikali za mitaa na kufanya mikutano ya chama chake maeneo ambayo CHADEMA ilipaswa ifanye mikutano. Leo katika kijiji cha Losirwa kilichopo kata ya Eslalei vijana...
  18. THINKINGBEING

    Hivi tunahitaji clare short mwingine katika hili?

    Serikali y CCM ilishawahi kukataa katakata kwamba waTanzania hatujatapeliwa hata shilingi moja na kampuni ya BAE iliyotuuzia Radar kwa bei ya kufuru.Serikali iliwatetea matapeli wote wakiongozwa na Andrew Chenge na Shailish Vithlani dalali mwenye asili ya kiasia ambao ndio walioiingiza nchi...
  19. THINKINGBEING

    Kangi Lugola: Nitaleta wapiga kura wangu bungeni tusaidiane kung'oa mawaziri mizigo

    Wabunge wa CCM wamezidi kuipinga waziwazi serikali inayoongozwa na chama chao chini ya profesa Kikwete. Leo mh. Lugola amesema mh. Chiza ni mzigo na hataacha kumuita hivyo hata kama wameombwa wasitumie lugha za kuuzi bungeni. Amesema yupo tayari kwenda jimboni kwake awachukue wapiga kura...
  20. THINKINGBEING

    Makamanda Monduli wasambaratisha ngome ya Lowassa

    Kikosi kazi maalum kikiongozwa na Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Monduli Ndgu Japhet Sironga, Katibu wa CHADEMA Wilaya Ndugu Thomas Kilongola na Mwenezi Chadema wilaya Ndugu Patrick Ngala OleMong'i wamefanikiwa kuwaondoa wananchi wa Moita Bwawani (Ndidai) katika makucha ya Mafisadi wa CCM...
Back
Top Bottom