Msaada:Nyerere akimzungumzia Msuya,IMF na World bank

THINKINGBEING

JF-Expert Member
Aug 9, 2010
2,779
1,304
Kuna kipande cha video cha Mwalimu Nyerere akizungumzia tukio la Cleopa Msuya alipokutana na wakopeshaji wa IMF na benki ya dunia.
Mwalimu anayataja mashirika na nchi zilizotukopesha halafu anasema Cleopa anaambiwa kaa hapo....
MSAADA
1.Kama una hiyo video clip tafadhali nisaidie niipate.
2.Kama unajua ilikuwa kwenye tukio gani naomba nijuze.

Leo nimeiona kwenye kibwagizo cha ITV cha mwalimu Nyerere.
 
Back
Top Bottom