Search results

  1. The mountain lion

    Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

    Dah Nyerere alikuwa na kipawa cha kipekee kabisa. Halafu kuna mabwege wanataka kujilinganisha na huyu mtu.
  2. The mountain lion

    Nikiwa na msichana namkinai, hivi nina pepo au ni tamaa tu?

    Ni pepo. Unahitaji kumpokea YESU kuwa mwokozi wako.Hali hiyo hutaisikia tena.
  3. The mountain lion

    Russian airstrikes kill 2 ISIS commanders, 300 militants – Defense Ministry

    Mwanaume kashaingia sasa analipua majeshi feki yaliyotengenezwa na Marekani.
  4. The mountain lion

    Nina mimba ya rafiki wa mume wangu, nifanyeje?

    Ahsante sana kwa nukuu iliyotukuka.
  5. The mountain lion

    Messi atakaporejea atamfikia C7 ktk magoli na kumpita!

    Kwa misimu mitatu mfululizo RONALDO anaingiza kwa kupachika magoli la liga na msimu huu utakuwa wa 4. Hebu tuache ushabiki wa kijinga tuongee ukweli na tuangalie takwimu sio unaongea tu. CR7 juzi tu kapiga bao 5 mechi moja au umesahau? Kama unapenda mabishano sawa lakini rekodi ya ufungaji...
  6. The mountain lion

    Tunaichukia CCM but CHADEMA wakishachukua nchi tutalia na kusaga meno...

    Hivi CCM wanawalipa shilingi ngapi mpaka mnajitoa ufahamu hivi. JINGA kabisa wewe ina maana huoni mambo yote mabaya waliyotufanyia hawa mabwege? Halafu unakuja hapa kutuaminisha eti CCM iendelee tu. Watu kama nyie ni bora mfe tu maana hamna faida yoyote.
  7. The mountain lion

    iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

    Iphone ni kitu kingine aisee usilinganishe na takataka za android.
  8. The mountain lion

    Ushauri: Mama mkwe kaahidi kuniroga, kunifunga jela au kuniua

    Nahisi ana matatizo ya akili huyo. Jaribu kutafuta wazee na wenye hekima waongee naye ujue ni kwa nini anafanya hivyo na kwa nini anakuchukia na kukutamkia maneno yote hayo. Hatua ya mwisho wachukue watoto wako kwa nguvu ili ajue ya kwamba wewe ni mwanaume na huna masihara katika hilo.
  9. The mountain lion

    Twaweza kutangaza matokeo ya utafiti wao kesho

    Maria Sarungi ukicheki page yake ya TWEETER ni CCM damu na anampigia kampeni MAGUFULI na kumponda LOWASA. Hapo tunadanganywa tu.
  10. The mountain lion

    Watu Kibao, Wanamkubali Lowassa Watu KIBAO: Jay Mo aliona mbali

    WATU KIBAO NI WIMBO WA WATEULE ambapo ndani yake walikuwepo MCHIZI MOX, JAFFARAY, JAY MO na wengineo.
  11. The mountain lion

    Mkutano wa CHADEMA wa kuchangia kampeni za Uchaguzi - Sept 21, 2015

    Nawaambia mnajihangaisha bure. WANANCHI tumeshaamua muda sana na hatuwezi kubadili mawazo. Jiandaeni kuwa wapinzani na sare zenu za majani.
  12. The mountain lion

    Mkutano wa CHADEMA wa kuchangia kampeni za Uchaguzi - Sept 21, 2015

    Naona mmeamka asubuhi na kuleta propaganda mpya. Mwaka huu CCM imekula kwenu. HATUWACHAGUI hata mumchafue LOWASA kiasi gani. Tunawachukia na hatutaki hata kuwaona.
  13. The mountain lion

    CCM wamekosea kutumia M4C kumnadi Magufuli

    CCM wamefeli kabisa yaani mpaka mnaiga nembo, jina, rangi na mtindo wa uandishi?. VIVA UKAWA VIVA
Back
Top Bottom