Search results

  1. fastum

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hii inapatikana wapi bro
  2. fastum

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tunawekaje hela kwa Airtel Money?
  3. fastum

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mie napenda kutoa pongezi zangu za dhati kwa NMB KAHAMA Business centre kwa huduma bora nilizozipata pale walinipa msaada mkubwa sana @ Pendo and her team 👊🤝👍🏽
  4. fastum

    Serikali mtafuteni huyu katili ili iwe fundisho kwa wengine

    Haujalazimishwa. Unaenda stendi huna nauli 😟
  5. fastum

    Wenyeji wa Kahama

    Bei ni rafiki?
  6. fastum

    Wenyeji wa Kahama

    Okay bro
  7. fastum

    Wenyeji wa Kahama

    Okay nashukuru lakini mimi nakuja huko kurekodi tu mandhari mazuri yaliyopo kahama na sehemu nzuri tu na sio hayo ulioyawaza wewe 😂
  8. fastum

    Wenyeji wa Kahama

    Natokea Dar
  9. fastum

    Wenyeji wa Kahama

    Habari wapendwa, natarajia kuja Kahama kesho na mimi ni mgeni kabisa sijawahi kufika Kahama hii ndo itakuwa mara yangu ya kwanza. Naomba kufahamishwa maeneo mazuri pa kulala na bei rafiki pia maeneo kwenye vivutio vya Kahama ili netembee pia, Pamoja na Club au Night club ilio changamka...
  10. fastum

    MKUNDI MOROGORO

  11. fastum

    Nimeipenda Tanga

    Cha kushangazaa Sisi watanzania hatuwezi kusaidiana hata kwa jambo la bure tu lazima mtu upinge tu. Hivi uki subscribe tu inakugarimu nini wakati ni bure
  12. fastum

    Nimeipenda Tanga

    Asante ntapita na picha utaziona pia
  13. fastum

    Nimeipenda Tanga

    Sawa kaka
  14. fastum

    Nimeipenda Tanga

    Ila baiskeli na piki piki ni nyingi sana
  15. fastum

    Nimeipenda Tanga

  16. fastum

    Huyu mzungu anataka nini?

    Hamna mzungu hapo hao wanigeria na wa Ivory Coast 🇨🇮 wanataka wakupige hela 🤣🤣
Back
Top Bottom