Search results

  1. B

    KUFUNGA HUDUMA

    Habari zenu wanaJF Je hii mitandao ya simu inahuduma za kufungia baadhi ya number kupiga au kutuma ujumbe mfupi,kutuma salio,kutuma fedha kwenda number fulani isifanyike Mfano number ikipiga isiipate number fulani Number ikiituma message isimfikie mtu Salio likitumwa lisifike Tafadhali nipigie...
  2. B

    Uso wenye mafuta na vitobo

    Habari zenu wana JF nina ndugu yangu ana uso wa namna hiyo msaada maana uso wake una mafuta mengi black spot n vitobo vitobo dawa yake ni nini????
  3. B

    Uzi maalumu kwa wote wanaohitaji mikopo mbalimbali ya kifedha

    Wapi naweza kupata mkopo wa haraka wana JF nisaidieni usio na riba kubwa???
  4. B

    Wapi wanatoa mikopo ya haraka kwa mikoa ya Mwanza?

    Habari zenu humu ndani wapi wanatoa mikopo ya haraka kwa mikoa ya mwanza???
  5. B

    Je, Inawezekana kweli mahusiano ya vijana wa miaka hii yakadumu pasipo ngono?

    Hivi ni kweli kwamba kila mwanamke anaeolewa yule ambaye anamuoa wanakuwa hawajakutana kimwili katika kipindi cha mahusiano kwa karne hii? Na kama ni kweli kwanini kuna msemo watu wengi wanadai mwanaume anaekuoa kama aliwahi kukutana kimwili na wewe katika kipindi cha mahusiano na akakuoa...
  6. B

    NACTE registration error

    Mi mwenyewe ilinitokea ivo lakin nilifanikiwa cijui nkuelekezeje
  7. B

    Msaada: Registration number inakataa NACTE

    Wanagoma kuniletea option ya kuupload vyet mpka niingize reg no
  8. B

    Msaada: Registration number inakataa NACTE

    Utumishi wa umma (tanzania public service college
  9. B

    Chuo gani wanatoa Postgraduate au Masters degree ya Monitoring and Evaluation?

    Also you can go to MSTCDC there kuna masters ya MOnitoring anf evaluation arusha
  10. B

    Msaada: Registration number inakataa NACTE

    Msaada jamani nikiaaply nacte bachellor nikiweka number registration inakataa inadai kuwa reg.no/examination number/graduation year is not in our system nimeenda jana nacte hakuna umeme nimerud leo anaehudumia matatizo ya namna hiyo hayupo sasa je tatizo linaweza kuwa nini jamani
  11. B

    Maombi ya diploma yataanza lini?

    Habari zenu humu ndani naombeni kuuliza nikiingia kwenye website ya TCU nikitaka kuuapply for degree inadai the system is closed and will be opened on 31st July 2016. Sasa cha kushangaza mpaka Jana bado system haijafunguliwa. Nahitaji kujua kuna watu wanaoona hivo maana TCU hawapokei simu...
  12. B

    Friends/lover

    Hello, natafuta rafiki a.k. a lover,,,, Nina umri wa miaka 23 am currently working anyone. go for PM
  13. B

    Je NACTE wataongeza muda wa application?

    Bachellor of Public administration
  14. B

    Je NACTE wataongeza muda wa application?

    mimi nimemaliza diploma sasas nataka nikasome mount meru university bachellor of public administration sasa je na leo ndio deadline nashindwa kuelewa je wataongeza muda maana sijarudishiwa transaction Id mpaka sasa hivi na mpesa
  15. B

    Je NACTE wataongeza muda wa application?

    mimi nimemaliza diploma nataka niendelee degree sio direct entry wa form 6
  16. B

    Je NACTE wataongeza muda wa application?

    Habari zenu wana JF, Mi kuna kitu nahitaji kujiunga bachelor this year ila muda nimeingia nimekuta deadline ni leo. Je kuna uwezekano ukafanya application direct katika chuo unachotaka kuapply au mpaka nacte wenyewe wakuchague au wataextend muda maana tangu nimetuma hela mpesa mpaka sasa hivi...
  17. B

    Vipele na Muwasho sehemu ya siri (Uke, Uume): Chanzo, Ushauri, Kinga na Tiba

    Msaada jamani juu ya dawa ya kusaidia hivi vipele vinavyotokea mara unashave???
Back
Top Bottom