Search results

  1. T

    Uzi maalumu wa maoni yenye lengo la kukomesha Panya Road nchini

    Ni kweli kabisa Police Traffic ni wengi barabarani kuliko police wa kuzuia uhalifu mitaani
  2. T

    Mwamposa Buldoza anazo nguvu za kweli

    Hawa ni wale wanaoamua kubisha tu hata iweje, achana nao, labda ndiyo wachawi wenyewe hao
  3. T

    Kenya 2022 Madai ya Odinga kuhusu Ruto kuchakachua matokeo ni ya kijinga sana kwa sababu hizi

    Hao Makamishna wa Mchongo kabisa, wanaonekana kabisa wako upande gani utadhani kuwa wao ni mawakala wa chama. Nani alilipia gharama za wao kufanya press conference Serena Hotel?
  4. T

    Interpol: Mwenyekiti IEBC alihongwa $3M

    Ili kampuni iamue kutoa rushwa ya pesa yote hiyo kwani gharama ya kuprint hizo ballot papers ni kiasi gani? Hii ni taarifa ya kumchafua Chibukati, waoneshe hiyo taarifa ya Interpol siyo gazeti liisemee.
  5. T

    Plot4Sale Shamba kubwa linauzwa Songea

    Shamba linauzwa Lipo kijiji cha Nambendo Songea, kilomita 100 kutoka Songea mjini, lina ukubwa wa ekari elfu mbili (2000) lina hati. Shamba linafaa kwa mazao mchanganyiko kama utavyoona kwenye picha, mpunga, Alizeti, mahindi, pilipili, mikorosho, n.k picha uzionazo ni mazao yaliyolimwa kwenye...
  6. T

    Kuhani Musa Richard Mwacha ni nani?

    Kumbe ulikuwa unamjua, yule tapeli wa imani, ndiko Mussa alikoanzia akiwa mmoja wa vijana wake aliokuwa akiwatumia kwa miujiza ya kupanga. Alipohitimu naye akaenda kuanzisha huduma yake. Utatozwa consultation fee, utajieleza shida zako kisha atatuma vijana wake kina Mussa wanakuja kwako, wakiwa...
  7. T

    Kuhani Musa Richard Mwacha ni nani?

    We know this guy, alikotokea, alivyoanza , mwalimu wake n.k. Tukisema tutamharibia biashara bure.
  8. T

    Kuhani Musa Richard Mwacha ni nani?

    Wanaonesha watu wanaoombewa tu, wako wapi waliopona baada ya kuombewa?
  9. T

    TANZIA Baba Mzazi wa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo Mzee Urban Costa Ndunguru amefariki Dunia

    Kwa kawaida ukoo wa Ndunguru, watoto wa kike wanaitwa kina "Mwegelo"
  10. T

    Gwajima sio wa kupuuzwa, ushauri wake kuhusu Corona umenitetemesha leo

    This guy is useless, TZ Kibwetere in the making
  11. T

    Makanisa TZ punguzeni mikusanyiko kujiepusha Corona

    Korea Kusini Corona ilianzia kanisani, waumini 4000 wa lile kanisa linalofungisha ndoa za halaiki kwa waumini wake kutoka duniani kote walipata corona kwa wakati mmoja.
  12. T

    Naomba kujuzwa utaratibu wa kupata vibali kwa ajili ya kusambaza dawa ya asili ya kisukari

    Naomba unisaidie namna ya kuipata hiyo dawa tafadhali. Naamini una nia njema kutaka kusaidia na wengine wenye tatizo hilo.
  13. T

    Rais Magufuli: Watanzania kuamini kila kitu cha kwenye mtandao ni kutokana na sisi kutoi-control mitandao

    Angalau kuwepo kwa mitandao ku nasaidia ku balance stories, vinginevyo mtatulisha Matango pori
  14. T

    David Kafulila akosoa watu kujipa mamlaka ya CAG

    Tumbili aliyegeuka Marioo_O Njaa itakuua, unajifanya anauchungu na kutetea ouzo hata kuliko wenyewe wenywe chama chao. Asubiri kupewa talaka na mkewe tu sasa.
  15. T

    Hivi mmewahi kujiuliza why Makonda na sio viongozi wengine?

    Sita hizo si za bure, msishangae anaandaliwa kupokea kijiti.
  16. T

    Yaliyojiri: Uhesabuji Kura na Utangazaji Matokeo katika Chaguzi Ndogo kwenye Kata 43 - Novemba 26, 2017

    Hivi toka lini wakuu wa Mikoa na wilaya wakapanda majukwaani kuwanadi wagombea Kama inavyofanyika huko Arusha? Haijawahi kutokea na haipaswi kuachwa iandelee kwani hao si viongozi wa kisiasa.
  17. T

    Mil 10 kwa siku kuna harufu ya ufisadi na upigaji

    Hatuhitaji kujua Kama unatumika, waliotoa michango hawajadai risiti iweje upewe wewe changu..?
  18. T

    PICHA: Mhe Tundu Lissu akiwa hospitalini Nairobi, Kenya anakoendelea kupata matibabu

    unamuita mkuu kwa lipi? Hayo ni matumizi mabaya ya kuita kila mtu "mkuu"
  19. T

    Serikali yajishushia Imani kwa wafanyakazi(90%)

    Ikifika July 2020 mishahara itaongezwa na hasira zitaisha.
  20. T

    Tundu Lissu apelekwe SCOAN kwa uponyaji wa haraka

    Mwenye morning water asaidie kumfikishia mpendwa wetu, kwa Hali yake hawezi kusafiri Kwenda scoan, anointing water inatosha ili wasioamini waje yupo Mungu
Back
Top Bottom