Search results

  1. K

    Naomba ushauri juu ya kubadili engine ya Suzuki Grand Vitara kutoka manual kwenda automatic

    Wakuu kuna gari ya nyumbani ambayo ni Suzuki Grand Vitara mafundi wanasema imekufa engine, so tulitaka tuibadili engine lakini iwe ya automatic. Je, inawezekana na wapi nitapata mafundi wazuri wa kurekebisha, gharama inaweza kuwa kiasi gani? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. K

    Msaada wa kupata vyombo vya muziki wa kupiga live

    Habari wakuu, Nilikuwa naomba msaada wa kitaalamu(sound engineering) namna ya kupata vyombo vizuri vya kupigia mziki vipya nikimaanisha kwa ajili ya sherehe, au shughuli mbali mbali zihusianazo na muziki kwenye ukumbi usiopungua watu 250 au hata maeneo ya wazi (sio ukumbini) bajeti yangu ni 2...
  3. K

    Msaada samsung j3(2016)

    Simu yangu tajwa hapo juu nimekumbana na tatizo la kuwa na mwanga mkali yaani hata nipunguze vipi bado macho yanaumia kutazama pia ukifungua app kma whattsapp inaonyesha kupauka sana tofauti na simu nyingine nilizotumia juzi juzi kama huawei p8 lte, naombeni msaada kama kuna njia nyingne ya...
  4. K

    Nahitaji external 2tb USED iliyo katika good condition

    hellow wazee wa technologia , kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji external hard disk iliyo used(branz nzuri iliyo katika hali nzuri) bajeti yangu ni tsh. 120000 Nasawasilisha kwenu.
  5. K

    Huawei P8 model number ALE-TL00

    msaada simu yangu hyo haina WCDMA bali ina TD-WCDMA basi 3g haisomi hata kidogo jpo GSM inasoma, tatizo itakuwa ni huo utofaut wa networks ama, picha yake inafuata kuhusu informations za simu pamoja na baseband ya networks yake
  6. K

    Msaada: External hard drive ya 1 TB sasa inasoma GB 60

    Wakuu habari za saa hizi, Mimi mwenzenu kuna mtu alitoka nje (Netherlands) akaniletea external HDD ya samsung model no. NM-0810 ambayo ni 1TB ambayo hata nilivyoichomeka kwa Mara kwanza kwenye PC yangu ilisoma 934 GB na nikatuma zaidi ya files za movies GB 300 kwenye hiyo external lakini...
Back
Top Bottom