korokwincho
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 1,049
- 1,216
Habari wakuu,
Nilikuwa naomba msaada wa kitaalamu(sound engineering) namna ya kupata vyombo vizuri vya kupigia mziki vipya nikimaanisha kwa ajili ya sherehe, au shughuli mbali mbali zihusianazo na muziki kwenye ukumbi usiopungua watu 250 au hata maeneo ya wazi (sio ukumbini) bajeti yangu ni 2 million ,
Pia naomba kufahamishwa ubora na ubaya wa kutumia powered mixer badala ya unpowered mixer pamoja na booster (power amplifier ), kwa sasa nipo moshi kwa sadalah ila makazi rasmi ni daresalaam mabibo. NATATUNGULIZA SHUKRANI.