Search results

  1. pamiho

    Mtendaji Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania alazimisha watumishi kuchangia maafa ya Katesh kuanzia 20,000-50,000

    Kwani kuna ulazima wowote wa wewe kuendelea kufuatilia huu uzi ikiwa una ona ni uzushi? Fanya mambo mengine
  2. pamiho

    Mtendaji Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania alazimisha watumishi kuchangia maafa ya Katesh kuanzia 20,000-50,000

    Mkuu tunatofutiana kipato, kwako wewe hicho kiwango ni kidogo sana lakini kwangu mimi ni kikubwa sana. Maelekezo ya Serikali ni kwamba taasisi zichangie kiasi kisichopungua milioni 10, ukisema kiasi ambacho taasisi inatakiwa itoe kigawanywe kwa watumishi wote siyo sawa. Pia suala la kuchangia...
  3. pamiho

    Mtendaji Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania alazimisha watumishi kuchangia maafa ya Katesh kuanzia 20,000-50,000

    Sioni msaada wako katika hilo, ungekuwa na msaada ungefika ili nikupatie huo ushahidi unaoutaka
  4. pamiho

    Mtendaji Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania alazimisha watumishi kuchangia maafa ya Katesh kuanzia 20,000-50,000

    Habari za asubuhi? Baada ya serikali kuyaomba michango mashirika yake ya Umma, yeye ameamua kuwalazimisha watumishi kuchangia (kwa kukatwa) posho zao kuanzia 20,000 na kuendelea ili aweze kupeleka kwa wahanga wa mafuriko. Hali hii imezua maswali mengi sana miongoni mwa watumishshi hasa...
  5. pamiho

    Waziri Mhagama kiokoe Chuo cha Utumishi wa Umma

    Kwakweli chuo kiko katika kipindi kigumu sana, uongozi wake wa juu unanyanyasa sana watumishi kwenye maslahi yao. Mtendaji mkuu amewateua wakuu wa Kampasi ambao wanamsikiliza yeye kwa chochote anachoamua. Mfano: Mkuu wa kampasi ya Singida ana uelewa wa kutosha hivyo hakubaliani na mtendaji mkuu...
  6. pamiho

    Hebu Tia neno kwenye hii picha

    Umesha kua!😊
  7. pamiho

    Mwalimu Victor wa TPSC Tabora kwanini unafelisha wanafunzi makusudi?

    Acha kupotosha eti wewe husomi. Wewe ulikuwa kinara kwenye kampeni za Majalwa (Polisi) kwenye uchaguzi wa Rais wa selikari ya wanafunzi mkashindwa kwa kishindo. Mkajikuta mmekosa yote... Uongozi na masomo. Sema lingine lakini siyo kupotosha Umma. Wajulishe wenzako mliofeli nao kuwa chuo...
  8. pamiho

    Mwalimu Victor wa TPSC Tabora kwanini unafelisha wanafunzi makusudi?

    Hata ukiweka picha yake humu haitasaidia. Someni tu ndio dawa ya kufaulu. Tatizo nyie mkiwa chuoni mnachanganya sana mambo.. Starehe nyinyi... Kupiga kampeni za wagombea urais wa selikari ya wanafunzi nyinyi... Kuna kufaulu hapo?
  9. pamiho

    Natafuta mwanamke wa kuoa

    Huenda unalichukulia tofauti sana jukwaa hili.... Lugha yako haifai katika hili jukwaa. Hata kama umekerwa kiasi gani, jaribu kuuchunga mdomo wako..
  10. pamiho

    Natafuta mchumba mwenye umri kati ya miaka 30-42

    Acheni kukatisha tamaa kijana... Atapatamani tu
  11. pamiho

    Leo naolewa

    Hongera sana
  12. pamiho

    Ujue ugonjwa wa Mba na tiba yake

    Pole sana, nenda hospitalini
  13. pamiho

    Natafuta mume,umri kati ya 37-42

    Kigezo cha kuwa na hela umekitoa wapi?
  14. pamiho

    Natafuta mume,umri kati ya 37-42

    Hata vidole vya mikono yetu havilingani ndugu.
  15. pamiho

    Natafuta mume,umri kati ya 37-42

    Unataka kujua nini?
  16. pamiho

    Natafuta mume,umri kati ya 37-42

    Kwani wewe mkunga??!!!
  17. pamiho

    Natafuta mume,umri kati ya 37-42

    Ku search siyo tatizo, kwangu kigezo cha umri ni muhimu sana.
  18. pamiho

    Natafuta mume,umri kati ya 37-42

    Endelea kungoja... Utangoja sana
Back
Top Bottom