Hebu Tia neno kwenye hii picha

Hao ni baba na mama wa msichana anaeolewa, na baba na mama wa mwanaume anaeoa. Kagame na mkewe Jeanette ndo wazazi wa msichana Ange alieolewa.
Hebu fafanua vizuri kwa hiyo kaka na dada wanaoana ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom