Search results

  1. Kitumbo

    Wanaomtaka lowassa wakanywe nae chai

    Nakereka sana hapa na jinsi Manyerere na Balile wanavoshadidia kumtetea Lowassa kaonewa (AZAM TWO). Nyinyi mmetumwa? Tunataka CCM impitishe mtu ambae mtanzania yeyote anaamini kuwa huyu anaweza kuipiga vita rushwa, huyo mnayemtetea anaweza kuipiga vita rushwa? Hebu acheni bana...
  2. Kitumbo

    Picha ya siku

  3. Kitumbo

    Mhimili wa nne wa DOLA vipi? Mbona hamtimizi wajibu wenu?

    Vyombo vya habari siku zote vimejinasubu kuwa ni mhimili wa nne wa Dola na kwamba una jukumu la kufichua maovu ili kusudi jamii wakati wote iujue ukweli na kufanya maamzi kwa haki. Lakini kinachoendelea katika kipindi hiki cha kutangaza nia inadhihirika wazi kwamba vyombo vya habari...
  4. Kitumbo

    Nzogwi tulyeeee!!!!

  5. Kitumbo

    Zamani na sasa

    WANA JAMVI, NIMEIPATA HII KUTOKA FB, NIMEIPENDA, TUIJADILITangaza Mazuri ya Nchi, Onea Aibu Udhaifu! Kuna semi nyingi za Kiswahili ambazo kimsingi zinasisitiza umuhimu wa jamiikutimiza wajibu wao kwa kufanya yaliyo sahihi, yaliyo mema na kuiacha jamiiiwahukumu kwa matendo yao. Semi nyingi...
  6. Kitumbo

    Mjasiriamali ni nani hasa?

    Wana JF hebu mnisaidie hapa, naona mara nyingi vyombo vya habari vinawataja wafanyabiashara wote kuwa ni wajasiri amali hata wale machinga wanaopanga bidhaa zao barabarani. Hivi ni kweli kuwa mjasiri amali ni mtu yeyote anayefanya biashara hata kama ni umachinga wa kufukuzana na mgambo wa jiji?
  7. Kitumbo

    Kwanini Watanzania walio ughaibuni wanafanya vizuri?

    Katika Rai ya Jenerali Ulimwengu ya "Miaka 50 ya Tanganyika, maswali hamsini ya kujiuliza" (Raia Mwema no.218), swali la 32 Jenerali ameuliza; "Ni kwa nini Watanzania walio ughaibuni wanafanya vizuri kutumikia nchi nyingine lakini wakiwa nyumbani wanakuwa hawafai?" Wana JF, nimevutwa sana na...
  8. Kitumbo

    Just a reminder

    Natumaini wengi tulishapitia hii lakini nadhani itakuwa vizuri kukumbushana pia! TARGETSETTING FOR SUCCESS- LESSONS ON PERSONAL BRANDING(A talkby Eric Kimani to the British Council Leadership Forum in Nairobi, Kenyaon 19.09.2007)Distinguishedguests ladies & gentlemen,I am delighted to have...
  9. Kitumbo

    Hatimaye Mubarak aachia ngazi!

    Live kutoka aljazeera. Mubarak atoweka kutoka Cairo lakini haijulikani alikoelekea... Peoples... Power!!!!
Back
Top Bottom