Search results

  1. Rubengo J Rubengo

    Changamoto katika ajira Tanzania

    Habarini ndg wapendwa, Kuna jambo linanitatiza kuhusu ajira za Tanzania, nashindwa kuelewa ni kwanini mashirika mengi hapa Tanzania yanapotangaza nafasi za ajiara hayaweki dhahiri/hadharani kiwango cha mshahara? Utakuta wanaandika tu qualification za muombaji nanduties atazojiusisha nazo...
  2. Rubengo J Rubengo

    Nafasi za kazi na mshahara wake

    Habarini ndg walendwa.. Kuna jambo linanitatiza kuhusu ajira za Tanzania, nashindwa kuelewa ni kwanini mashirika mengi hapa Tanzania yanapotangaza nafasi za ajiara hayaweki dhahiri/hadharani kiwango cha mshahara???. Utakuta wanaandika tu qualification za muombaji nanduties atazojiusisha nazo...
  3. Rubengo J Rubengo

    Msaada kuhusu foindation coz

    Wadau naomba kujua, je inawaezekana kwa mtu aliesoma foindation course kujiunga na chuo chochote?.
  4. Rubengo J Rubengo

    Shule gani ya binafsi ni bei nafuu mkoani Mwanza na Kagera?

    Samahani watanzania wenzangu, naomba ushrikiano na msaada wenu, Naomba kwa yoyte anaezifaham shule za private za kidato cha 5&6 zenye ada nafuu zilizopo mkoani Mwanza au Kagera anisaidie kuzifahamu ata ikiwezekana mawasiliano nazo. Nitashukuru sana kama tapata msaada wako. Ahsante sana.
  5. Rubengo J Rubengo

    Je Unazijua Kwa Undani Shule Za Private 5&6

    Msaada Kwa Yoyte Yule Anaezijua Kwa Undani Shule Za Private Zenye Ada Chin Ya Mil.1 Zilzopo Mwanza Ama Kagera Naomba Anitajie Na Kama Inawezkana Ata Mawasiliano Yao Niyapate.. Tashkuru Xana Kma Thread Hii Itajbiwa Kwa Ukarimu. Ahsanteni
  6. Rubengo J Rubengo

    [b]shule Zenye Gharama Nafuu[/b]

    Kama Unazfaham Shule Binafsi Za A-level Zenye Ada Nafuu Nitajie Iwe Ya Bord Kwa Wavulana Au Day,Husasa Ni Zile Zilzopo Mkoan Mwanza...Naomben Msada Wenu Nb:itakua Vyema Kama Utanitajia Na Ada Yao Ni Kias Gn? Ahsanten Wakuu,naomben Ushrkiano Wenu.
  7. Rubengo J Rubengo

    Shule za private a-level zenye ada ndogo

    Wakuu Naombeni Kwa Wale Wanaozijua Shule Nzuri Za PRIVATE...A-level Zenye Kiwango Cha Chin Cha Ada Na COMBINATIONS Ztolewazo Na Shule Husika.Zilizopo Mkoa Wa MWANZA NA MARA Mnitajie. NB:Itakua Vyema Kama Utaweka Na Kiwango Cha Fedha Taslim Kwa Mwaka Au Muhula...
  8. Rubengo J Rubengo

    Kipaji changu kinateketea

    Naweza sana kuimba na kuandika mashairi ya kizazi kipya, ila kipaji changu hakina nguvu coz sina support yoyote ile, hasa nyumbani. Hawapendi nifanye music. Je, nifanyeje? Naombeni mchango wenu kimawazo ndugu zangu.
  9. Rubengo J Rubengo

    Nani Huyo!!!.

    Ebana Kuna Mzee Leo Kabana Ushuz Ndan Ya Daladala.Kajitahdi Ikabidi Aachie Sikikatoa Sauti "Pyuuuuh"...Watu Aaaah..!Mzee Akawangalia Abiria Akajishitukia,Mzee Akawah Kusema NANI HUYO KAJAMPA NYUMA YANGU...Kudadek Raia Wamekufa Na Cheko Kinomah!.
  10. Rubengo J Rubengo

    Vipi ni vyuo vizuri vya Journalism?

    Ni vyuo gani vinavyofundisha jonalism{uandishi na utangazaji wa habari}na ada zao inakuaje???
  11. Rubengo J Rubengo

    Gharama za ada kwa shule binafsi

    Naomba Kujua Eti Shule Za Private Malipo Yao Ya Kujiunga Na Form V Na Vi{advance}ni Shilingi Ngapi???
  12. Rubengo J Rubengo

    Msaada Wenu Wa Mawazo

    Nawez Sana Kuimba Ila Cjapata Mzamin Na Sina Sapot Yoyte.Nisha Jarbu Kutafta Msada Ila Hakuna Nlichoambulia Zaid Ya Kukatishwa Tamaa...Naweza Sana Kurap Pia Ata Rnb,tatzo Ni Uchum Wang Yan Bdo Uko Chni Sana...Naomben Msaada Wenu Ata Ushaur Tu Unatosha..Namb Zang Za Sim 0756525438
Back
Top Bottom