Search results

  1. echuma

    Mafuta ya kukuza na kujaza nywele yanauzwa

    Tumia OMGrace Black Castor Oil ni kiboko kwa ukuzaji na utunzaji wa nywele,kama unasumbuliwa na mba na miwasho baada ya kusuka pia ni suluhisho lako. ukinunua utapokea na karatasi ya maelekezo kwa ajili ya matumizi sahihi. Inapatikana kwa Tshs. 15000/= Delivery Dsm na Mwanza ni 3000/= hadi...
  2. echuma

    Legacy Impresion Company : Rasimisha biashara yako

    Kwa huduma ya kutengeneza Video promo kama hii na kudizaini & Kuprint
  3. echuma

    OnlineADD: Kufungua akaunti za kibiashara mtandaoni...

    Ili biashara yako iwe na muonekano thabiti unahitaji kuwa na akaunti za biashara,wajasiriamali wengi ,wanachanganya biashara zao na maisha yao,akaunti ya biashara hiyo hiyo inatumika kwa mambo binafsi hilo ni kosa unahitaji kuwa na akaunti maalum kwa ajili ya biashara yako akaunti ambayo...
  4. echuma

    ONLINE ADD : Jinsi ya kujitangaza kwa weledi mtandaoni

    Tunatoa huduma ya kutangaza matangazo ya biashara na brand mtandaoni ambapo tuna aina 2 za kutangaza. - Human factor na Machine Factor Ukitumia human factor hii ni huduma inayojumuisha matumizi ya biandamu sana kukufanyia update na pia kucomment kulingana na aina ya swali na post,hii...
  5. echuma

    Jinsi ya kutengeneza muonekano bora wa bidhaa yako na watu wakaipenda

    Unabidhaa yako leo na unataka kuitengenezea munekano bora zaidi? suluhisho lako kwa sasa ni Branding Product Package,Kifurushi cha bidhaa ambacho kinakupa vitu muhimu na vya msingi katika utengenezaji wa bidhaa yako. Katika promosheni hii upande wa bidhaa kuna chaguzi 2. 1. Logo 2 na Sticker 1...
  6. echuma

    Nafasi ya kazi Graphics designer

    Anahitajika mtu mwenye uelewa mzuri wa Graphics designing. Vigezo: Awe anajua kutumia vizuri software za designing. Uzoefu: Sio chini ya miezi 6. Jinsi ya kutuma maombi: Tuma Cv pamoja na portofolio kwenda email: aplication244@gmail.com Mwisho wa kutuma maombi: 18/07/2017.
  7. echuma

    Ipe muonekano biashara yako na Legacy

    Nembo ndio utambulisho wa biashara yako karibu Legacy upate Nembo inayoendana na Hadhi ya biashara yako. Piga sasa 0713603699 au info@legacytz.com kwa maelezo zaidi. Legacy Impresion Company au Legacy Impresion Tunapatikana kijitonyama Dar es salaam na tunapokea hata kazi kutokea mikoa mingine...
  8. echuma

    Kuza biashara yako na Legacy

    Kwa huduma zote za Graphic design, webtech, Printing na Office Stationery, karibu utuone Legacy Impresion Company tunapatikana Kijitonyama Dar es salaam,Hudmuma zetu ni nzuri na bei zetu ni nafuu kabisa,tunadizaini LOGO,BUSINESS CARD,IDENTIFICATION,FLIERS,POSTERS,WHEEL COVERS, CALENDAR...
  9. echuma

    ninadizaini na kuprint business card

    Nina dizaini na kuprint business card kwa bei ya chini kabisa na za aina zote matt, gloss,3d karibu sana mawasiliano 0713603699
  10. echuma

    Suruhisho kwa Mfanyabiashara au mjasiriamali?

    Hii ni maalum kwako wewe mfanyabiashara au mjasiriamali, karibu Legacy ujipatie huduma ya graphic na kuprint kwa bei nafuu na ubunifu wa hali ya juu, hakuna utapeli kufanya kazi na sisi tunapatikana dar es salaam lakini tunafanya na kupokea oda kutoka sehemu yoyote hapa nchini, tayari...
  11. echuma

    Mabadiliko ya hali ya kibiashara Tanzania

    Kama ukiangalia vizuri nchi yetu ya Tanzania inatengeneza mabadiliko fulani ya kibiashara na kiuchumi na mabadiliko haya yatakuwa na athari na faida zake. 1. Kwa sasa serikali imeamua kutengeneza vitambulisho vya utaifa hii ni ili kupata taarifa muhimu za kila mtanzania kuanzia...
  12. echuma

    You can get rid of fakes by simply contacting us!

    Get Logo,Banner, Letter head,proforma invoice ,delivery note,Tax invoice, and many more different designs for only Tshs 20,000/= per each in a bundle of 10 up to 20 artworks, your most welcome NB;For those who will purchase a complete bundle they will have a free seminar on how to make them...
  13. echuma

    Jipatie logo ( nembo ) kwa bei nafuu

    Karibu Legacy Impresion Company ujipatie logo ( nembo) kwa bei nafuu kabisa na haraka, kuna nembo ambazo tayari zimesha dizainiwa za aina tofauti tofauti, kulingana na tofauti za biashara unachotakiwa ni kuchagua na kuchukua kuifanya yako, bei zetu ni nafuu kabisa kila Logo ina thamani ya...
  14. echuma

    Je ofisi yako iko ndani ya eneo la kinondoni?

    Legacy Impresion Company tunatoa huduma ya kuuza vifaa vya steshenari kwa bei nafuu hasa kwa steshenari za maofisini,kwa sasa tunatoa huduma ya kufikisha hadi ofisini kwako kwa wateja walioko maeneno ya wilaya ya Kinondoni, unachotakiwa kufanya ni kupiga simu au kutuma email ya oda ya vitu...
  15. echuma

    Jipatie logo ( nembo ) kwa bei nafuu

    Karibu ujipatie logo ( nembo) kwa bei nafuu kabisa na haraka, kuna nembo ambazo tayari zimesha dizainiwa za aina tofauti tofauti, unachotakiwa ni kuchagua na kuchukua kuifanya yako, bei zetu ni nafuu kabisa kila Logo ina thamani ya Tshs 50,000/= karibu sana kwa mawasiliano 0713 603 699 au tuma...
  16. echuma

    Nafasi ya kazi mpya

    Wanahitajika watu watatu wa kufanya marketing ya kampuni ( Sio ya kutembeza vyombo) malipo ni kwa Kamisheni kwa kipindi cha miezi mitatu ndipo utaanza kulipwa mshahara,vigezo uwe na uwezo mzuri wa kuongea kiingereza na uzoefu wa kazi hiyo ni tuma cv yako kwenda (aplication244@gmail.com) cv...
  17. echuma

    Je unahitaji busines card? Logo au fliers

    Bei zetu ni nafuu kulinganisha na huduma tunayotoa Mawasiliano 0713 603699 email: info@legacytz.com website: .:LEGACY TANZANIA:. Blog:Legacy Impresion
  18. echuma

    Legacy Impresion Company

    Karibu Legacy Impresion Company,Ofisi ipo kijitonyama mkabala na kanisa KKKT,ofisi inahusika na kufanya shughuli za Graphic Design,Printing,Webtech na Stationeries. Tuliamua kujumuisha vyote hivyo katika ofisi moja ili kukidhi haja za mteja bila kubisha hodi katika milango mingi,Kwa upande wa...
  19. echuma

    Now you can get rid of fakes by simply contact us

    Glad to contact you, please give me some 2 minutes to introduce our new offer, that suites you and your business in order to establish a good business relationship thanks. First of all our company called Legacy Impresion Company established two years ago to run in Graphic design...
  20. echuma

    Kazi mpya

    Wanahitajika watu wa masoko watatu,Mkoa ni Dar es salaam,Kazi yao kubwa itakuwa ni kutafuta wateja na kufanikisha mipango na malengo ya kampuni,uzoefu haijalishi sana hata fresh from graduate,elimu kuanzia kidato cha 4 na awe na uwezo wa kuongea na kuandika vizuri lugha ya bashara ya...
Back
Top Bottom