Legacy Impresion Company

Legacy Impresion Company

echuma

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2010
Posts
311
Reaction score
80
Karibu Legacy Impresion Company,Ofisi ipo kijitonyama mkabala na kanisa KKKT,ofisi inahusika na kufanya shughuli za Graphic Design,Printing,Webtech na Stationeries.

Tuliamua kujumuisha vyote hivyo katika ofisi moja ili kukidhi haja za mteja bila kubisha hodi katika milango mingi,Kwa upande wa

Graphic tunafanya visual still image za aina zote 4 (logo,posters,bzcards,fliers n.k)

kwa upande wa Printing tunafanya zote kubwa na ndogo kwa kushirikiana na makampuni wenza kwa upande wa print kubwa ambayo mashine zetu haziwezi kufanya.

Steshenari tunahudumia zaidi maofisi hivyo kwa upande wa steshenari zaidi tunazo za maofisini.

Mchanganyiko huu ukiutumia kwa pamoja unaleta unafuu kwako mwenye ofisi na upatikanaji wetu ni rahisi na iwapo utakuwa mteja tutakuletea hadi mlangoni kwako.

Bei zetu ni nafuu ukilinganisha na huduma,ufanisi na uwezo wa kufanya kazi kwa muda,karibu sasa

Kwa uhakika zaidi unaweza Kupiga simu Simu:0713603699 au email: info@legacytz.com

Karibu sana
Legacy"Namba moja mjini"
 
Karibuni sana

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
attachment.php

Logo sample
 

Attachments

  • city utility logo.jpg
    city utility logo.jpg
    58.5 KB · Views: 161
attachment.php

logo sample
 

Attachments

  • icon logo - Copy.png
    icon logo - Copy.png
    87.6 KB · Views: 168
Karibu sasa kuna ofa mpya ya nembo ndani ya siku moja kwa bei chee

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom