Search results

  1. Punnisher

    Kwa wale anti-Electical Vehicle: Unaijua ZEV Mandate?

    Hawa jamaa hizi EV wangesi samehe..ili wadau wachukue...... Sema mambo ni mengi ili tuwe comfortable na jutumia EV -umeme Wa uhakika(Tanesco na wadau wengine) -makampuni ya bettery...sisi tutanunua used EV ,battery degradation will eat us alive -incentives kwa owners....Kodi kidogo,spare sisiwe...
  2. Punnisher

    Kwa wale anti-Electical Vehicle: Unaijua ZEV Mandate?

    Nilikuwa nawaza hizi hesabu sana ..umenisaidia Vip mkuu kuyaleta hapa bongo TRA Wanatapiga ngapi...
  3. Punnisher

    Rais Samia: Hatutazuia Maandamano na Mikutano ya Hadhara

    Wakubwa wa ulaya na magaribi wamewabana gov officials....ni mwendo wa demokrasia tu hapa..........
  4. Punnisher

    Urusi kukutana na makundi yote ya kipalestina kwa mashauriano. Ni mchakato wa kuundwa taifa huru la Palestina

    waunde taifa moja ila gaza na west bank ziwe autonomous regions kama zilivyo honkong,macau,xianjin
  5. Punnisher

    Hivi kweli mtu anaamni Marekani hakuna madini? Africa tujitathmini sana

    HAKUNA NCHI ISIYOKUWA NA RASILIMALI........HATA JANGWANI MADINI YAPO CHANGAMOTO NI WAKAT WA EXPLORATION
  6. Punnisher

    Nahitaji kufunga solar system nyumbani

    Naangalia Alibaba hapa naona Kuna battery ya kv 2na inverter ya kv2 hiyo itamtosha mdau hapo?
  7. Punnisher

    Demokrasia ya watu wa China ni bora kuliko ya nchi za Magharibi (Marekani & Ulaya)

    China haijawai ku colonize/kuiba mali. Nchi nyingine
  8. Punnisher

    Kwanini watalii wa China wameacha kutalii nchi za Magharibi?

    Propaganda za west zinawafanya Chinese waonekane ni threat ....Sasa kwanini ukatalii nchi ambayo watu nanakuona adui? Lakini pia slow down ya uchumi wa china....mamaake jamaa uawana mihela au wanahofia kuyokuwa na hela siku za usoni so wanasave😆
  9. Punnisher

    Kijana kamkimbia mchumba wake alietaka kumuoa baada ya kujua kwao kuna walemavu ni sawa?

    Ni sawa kabisa......ila kama waliyazungumza kabla ya uchumba siyo sawa
  10. Punnisher

    Mimi na mke wangu kiroho safi tunaenda kuachana rasmi

    Akili timamu.....ni Kwa watu wachache sana
  11. Punnisher

    Sina furaha kwenye ndoa yangu, nahisi nilikurupuka

    mkuu tafuta hela........mkeo siyo mvivu wewe tafuta hela tu
  12. Punnisher

    Uchumi wa China: Rais Xi Jinping akiri 'wakati mgumu' kwa baadhi ya makampuni

    Mkuu sidhani India itafaidi au kuwa na zama za china. ....Kwa upeo wangu naona mexico wataupiga mwingi zaidi ya india
  13. Punnisher

    Google Pixel 8 Pro iko vizuri kuliko nilivyodhania

    MKUU MIMI NINA PIXEL NILITOKA KWENYE SAMSUNG NOTE 10 5G SIJUTII HATA KIDOGO
  14. Punnisher

    Makampuni makubwa yanaogopa na kusuasua kuwekeza Marekani

    Mkuu pia Europe na usa regulations ni tight sana
  15. Punnisher

    China ataiua US kwa presha, katangaza Kirin 9006C(chip) ya 5nm tech

    Mkuu nchi kujitengenezea space station siyo kituo kidogo Hizi low orbit satellites hata India anafanya.
  16. Punnisher

    Naomba kuelekezwa namna ya kuagiza mzigo kutoka India Kuja Tanzania

    Mkuu unaweza nisaidia namba za silent ocean india
Back
Top Bottom