Search results

  1. redcarpet

    Msamaha wa serikali kwenye umiliki wa viwanja

    Hello guys heri ya sikukuu nisiwachoshe sna ila kama kichwa cha habari hapo juu serikali imetoka msamaha wa kodi kwenye umiliki wa ardhi kwa wale wenye malimbikizo ya kodi. Sasa swali langu mmi nilinnua eneo, mwenye eneo alipima na kuuza, mmi nikannua baada ya hapo nikaenda mipango miji...
  2. redcarpet

    Chinese version vs Global version

    Habarini waheshimiwa popote pale mlipo, kama title inavyoonyesha nahitaji kujua kubaidilisha simu ambayo iko kwenye muundo wa Chinese version kuwa Global version je inawezekana? Nauliza hvyo kwa maana niliagizia simu kwenye soko LA mtandaoni, kweli simu imenifikia lkn nilichokutana nacho ni...
  3. redcarpet

    Android 10 update, zipi faida na hasara zake?

    Habari za leo wataalamu hizi kazi ni uhakika wangu popote mlipo mko vema na mnapambana vilivyo na haya maisha. Nisiwachoshe sana na kama mnavyoona title yangu hapo juu[emoji115] nimeona ni vema nikawashirikisha kabla sijafanya chochote. Leo kama kawaida nimewasha simu nikakumbana na maelezo ya...
  4. redcarpet

    Uzinduzi wa tecno phantom Dubai

    Kama kichwa cha habari hapo juu nimekaa na na kuwaza bila jibu ni nini kimewafanya watengenezaji wa cm za tecno kwenda kufanya usinduzi wa simu zao Dubai. Je ni kutangaza masoko au ni teknolijia yao imekuwa na kuwa na bidhaa bora kwa sasa ?
  5. redcarpet

    Nimefurahi lakini nimeshindwa kupokea simu

    Ndugu wanajamvi nimelazimika kuleta uzi huu pengine kuna majibu tayari ila kuna uwezekano sijakumbana nayo jamvini. TCRA wafanya yao kwa Star Tv na ndio wamiliki wa kampuni ya Sahara media ambao ndio wamiliki wa ving'amuzi vya continental. Sasa swali langu ni hili kufungiwa kwao Star Tv...
Back
Top Bottom