redcarpet
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 234
- 198
Ndugu wanajamvi nimelazimika kuleta uzi huu pengine kuna majibu tayari ila kuna uwezekano sijakumbana nayo jamvini. TCRA wafanya yao kwa Star Tv na ndio wamiliki wa kampuni ya Sahara media ambao ndio wamiliki wa ving'amuzi vya continental.
Sasa swali langu ni hili kufungiwa kwao Star Tv continental decoder wataendelea kuwa hewani? Wazee kijijini wanataka majibu.
Sasa swali langu ni hili kufungiwa kwao Star Tv continental decoder wataendelea kuwa hewani? Wazee kijijini wanataka majibu.