redcarpet
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 236
- 208
Habarini waheshimiwa popote pale mlipo, kama title inavyoonyesha nahitaji kujua kubaidilisha simu ambayo iko kwenye muundo wa Chinese version kuwa Global version je inawezekana?
Nauliza hvyo kwa maana niliagizia simu kwenye soko LA mtandaoni, kweli simu imenifikia lkn nilichokutana nacho ni tofauti na mazoea ya siku zote pale unapopata simu mpya.
Muuzaji alikuwa tayari ameshaitega ili ionekane kama iko kwenye Global rom kumbe Sio kweli kwa maana kulikuwa na baadhi ya apps za kichina.
Nikairoot dah ndio ikawa Chinese kabisa.