Search results

  1. faisal1

    Home job kwa cartoon artist

    Natafuta artist anayeweza kuchora cartoon kama za kwenye magazeti. interview hapahapa just design cartoon character wako azungumzie ulevi. Kisha itume kwa whatsapp kwenda 0767482177. Anaeomba asiwe na kazi nyingine young artists will be given priority.
  2. faisal1

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    It's so sad i reported a querry through your call center on internet challenge since 16th september but to date no action taken regardless of several calls to remind. I would appreciate if you will consider TAT on your customer querries and resolve them timely. My numbers are 0767482177
  3. faisal1

    Mrejesho wa tiba ya GERD

    Hi kaka nipe mawasiliano yako nikupigie
  4. faisal1

    Mkopo NMB

    Rosita nipigie kwenye 0767482177
  5. faisal1

    Nimekua natokewa na hali inayohatarisha maisha yangu

    inahusiana na anxiety issues muone expert wa masuala ya saikolojia utapewa dawa zinazoondoa hiyo hali. huku kwetu ni ugonjwa mpya lakini kwa wenzetu ulaya ni wa siku nyingi unatokana na sababu za kimazingira na misongo ya mawazo. kama unafuatilia habari ni jana tuu huko marekani baba ameua mtoto...
  6. faisal1

    Biashara ya namna hii inawezekana

    iko hivi kaka risky business ndo siku zote zinalipa kama unaogopa risk then nenda kanunue hisa za UTT na usubirie gawio mwisho wa mwaka.
  7. faisal1

    T.B JOSHUA alitabiri vita dhidi ya Urusi, ona VIDEO!

    sasa huu ni utabiri au? mbona ni kama mtu kusema naskia kiu! nafuatilia sana prophecies za huyu jamaa lakini nyingi zina walakini
  8. faisal1

    Binti anapoolewa, kwanini familia hufurahi?

    nadhani umeangalia suala zima la ndoa katika kipengele kimoja tuu , wakati falsafa ya ndoa nibpana sana. kwa ufupi 1. binti akiolewa anapata stara yaani anakuwa na mume ambae anamtimizia haja zake kihalali hili linaepusha aibu ya kutembea na wanaume mbalimbali na pia kumuepusha na magonjwa 2...
  9. faisal1

    Biashara ya namna hii inawezekana

    tafuta line ya M pesa ajiri kijana eneo zuri katikati ya mji utapata zaidi ya 200000 kwa mwezi baada ya kutoa gharama
  10. faisal1

    Hivi naweza pata ufadhili wa mradi toka nchi za kiarabu?

    labda kabla sijakushauri nikuulize are you seriou!!!? usd 3.5 millions just for madrassa lindi town!?? kwa pesa za Tanzania ni approximately 5.6 billion! hebu fafanua hapo kwanza
  11. faisal1

    Natafuta rotary oven za kuokea mikate

    search vics machines.com hao ndo main suppliers wako china wan kila aina za oven proofer visu vya mikate na mengineyo shipment wiki 2 unapata vifaa vyako full set ya bakeryequipments kwa 15_ 20m.
  12. faisal1

    Natafuta Toy (vitu mbalimbali vya kuchezea watoto)

    mama kibunju asante kwa taarifa nahitaji vitu mbalimbali vya watoto kuchezea vya bei ya jumla si kitu kimojakimoja
  13. faisal1

    Natafuta Toy (vitu mbalimbali vya kuchezea watoto)

    natafuta muuzaji wa jumla wa michezo mbali mbali ya watoto vigari, vitenesi, midoli n.k iwe used au mipya.
  14. faisal1

    Natafuta wanapouza toy za jumla Dar

    toy namaanisha vitu vya waatoto vya kuchezea kama vigari, pikipiki, midoli, games, mipira n.k
  15. faisal1

    Mkuu wilaya Arumeru atoa agizo kila mwalimu kutoa tsh 50,000 ujenzi wa maabara

    kakosa ubunifu. aache kukandamiza walimu aumize kichwa na washauri wake na si kuwa na mawazo finyu kiasi hiki
  16. faisal1

    Natafuta wanapouza toy za jumla Dar

    naomba msaada kwa anaejua wapi ntapata toy za jumla Dar used na mpya.
  17. faisal1

    Wapi inauzwa mitambo ya radio Tanzania

    thanks ntafanya leo
  18. faisal1

    Wapi inauzwa mitambo ya radio Tanzania

    natafuta maduka wanaouza mitambo ya vituo vya redio tanzania
  19. faisal1

    Kwanini Josephat Mwingira ana ulinzi wa kufuru?

    nadhani huzijui bafo nguvu za mungu ndo mana umempangia yeye kulinda maadui wa kiroho na wa kimwili ukawapa bodyguards kwa akili zako binafsi wakati hao bodyguards wenyewe wanamuomba mungu awalinde. soma dini na utajua mlinzi mkuu wa vyote ni nani. just to help you "2:255 Allah—there is no god...
Back
Top Bottom