natafuta maduka wanaouza mitambo ya vituo vya redio tanzania
Mitambo ya Radio Tanzania?!!!!!
nadhani alikuwa anamaanisha: Mitambo ya Radio, hapa nchini Tanzania
Mkuu nitumie list ya vifaa unavyohitaji kwenye sales@godfreyelectronics.com then ntakutumia invoice na maelekezo namna ya kukuletea au kuna mwana JF mwenzangu humu ni dealer wa mambo ya Radio anaitwa Radio Producer
natafuta maduka wanaouza mitambo ya vituo vya redio tanzania