Search results

  1. J

    Mange Kimambi kuangusha uongozi wa BAKWATA?

    halafu anafungua vita na Jamiiforums.... amuulize Rostam kilimkuta nini hapa JF
  2. J

    Mange Kimambi kuangusha uongozi wa BAKWATA?

    Hali ikiendelea kwa speed ambayo inaendelea na hizi tuhuma nzito ambazo zingine zilishawahi kutolewa dhidi ya Sheikh Mkuu wa BAKWATA wa Mkoa wa Dar, then sioni kwa nini Paul Makonda's favourite sheikh abaki ndani ya ya NGO ya BAKWATA. Miaka michache iliyopita tuhuma dhidi ya Alhadi Mussa...
  3. J

    Muslim Hassanali awataka Waziri wa Mambo ya Ndani na wa Nje na Balozi wa USA wamshughulikie Mange Kimambi

    Hali ikiendelea kwa speed ambayo inaendelea na hizi tuhuma nzito ambazo zingine zilishawahi kutolewa dhidi ya Sheikh Mkuu wa BAKWATA wa Mkoa wa Dar, then sioni kwa nini Paul Makonda's favourite sheikh abaki ndani ya ya NGO ya BAKWATA. Miaka michache iliyopita tuhuma dhidi ya Alhadi Mussa...
  4. J

    Anatomy of incompetence: Kigwangalla vs Lukuvi, Makonda vs Lukuvi, Ummy Mwalimu vs Magufuli etc..

    Dodoma is probably one of the most depressing places on Earth at the moment. The only people in a good mood are swivel-eyed with access to Lithuli and fever-brained mates of Dar es Salaam RC. Everybody else is miserable: frustrated by the intellectual vacuum at the heart of the government and...
  5. J

    Kwanini Oman wamewatosa Wazanzibari?

    napita tuu wana dugu
  6. J

    Majina ya wasaliti toka Zanzibar yatajwa

    blast from the past
  7. J

    Mwana DIASPORA Juma Pinto aula bodi ya Utaliii

    Zama zetu tulipokuwa tumeshika nchi
  8. J

    TANESCO in bed with Quality Group

    Kishanuka Muhongo naye ame wa chenjia kibao
  9. J

    Crescentius Magori, ni nani kwenye serikali ya Magufuli?

    uzi ambao unasomwa zaidi JF Kuna ukweli humu au majungu tuu??
  10. J

    Nahitaji elimu ya maxcom malipo na selcom malipo

    Je ipo nafasi ya kampuni zingine kuingia kwenye soko au hizo zinatosha?
  11. J

    Agribusiness in Tanzania

    Hapa siongelei kilimo cha eka mbili tatu hapa nazungumzia kilimo cha kufa mtu kama wanavyofanya USA, Australia na nchi zinginezo Swali Kwa nini wafanya biashara wakubwa kama akina Mohammed Enterprises na Bakhressa hawakujikita vilivyo kwenye kilimo hichi ? Mo Enterprises naona wao ni wanunuzi...
  12. J

    Ardhi kujenga Univesrity

    nicheki tuu on PM Lakini nilidhani adhi za elimu au afya serikali au wilaya zinatoa for free
  13. J

    Ardhi kujenga Univesrity

    Nina jamaa wanataka kuja kujenga chuo kikuu kikubwa kama vile UD or something similar Je upatikanaji wa ardhi ukoje? Je serikali au wilaya zinaweza zikawa na ardhi ambazo zimetengwa kwa jili hii? Je ardhi itabidi kununua au serikali ilishatenga maeneo kwa ajili hiyo (land banks) kwenye kila...
  14. J

    Uwakala wa Dangote Cement

    naomba niweke sawa hiyo cementi inaenda nchi ya jirani na haitotumika Tanzania sasa bora kununua ya Tanzania au nje na TZ iwe transit tuu?
  15. J

    Gharama za kujenga barabara Tanzania

    Hivi kuna mtu anajua gharama za kujenga barabra Tanzania kwa kila kilometa moja? Naomba figures in Dollars tuseme barabara ni tambarare na kama kutakuwa na jidiraja bas ni viduchu tuuu na barabara ni kilometa 50
  16. J

    Uwakala wa Dangote Cement

    maneno matamu tuu hehehehe na ni watu ambao naaminiana nao na nishafanya nao kazi zingine in the past hakuna ubaya
  17. J

    Uwakala wa Dangote Cement

    Nina tenda ya kusupply cementi kwenda nchi jirani sasa sijakubali kitu na hawa jamaa mpaka nifanye research yangu je bei za cement brand gani ni nzuri na ina bei ya afadhali hapa Tanzania Je process ya kupata uwakala au u superdealership ukoje na masharti yake je? Je ipi bora kati ya kununua...
Back
Top Bottom