Anatomy of incompetence: Kigwangalla vs Lukuvi, Makonda vs Lukuvi, Ummy Mwalimu vs Magufuli etc..

JOFFREY BARATHEON

Senior Member
Jun 26, 2014
107
195
Dodoma is probably one of the most depressing places on Earth at the moment. The only people in a good mood are swivel-eyed with access to Lithuli and fever-brained mates of Dar es Salaam RC. Everybody else is miserable: frustrated by the intellectual vacuum at the heart of the government and worried that this country may be drifting to disaster kwa sababu ya ujuaji from kila mtu.

Wakati wa JK tulikuwa tunalalamika kuw ahakuna coordination ya habari na utekelezaji wa sera za serikali na tulitegemea kuwa kutakuwepo mabadiliko baada ya Rais Msomi ambaye ameamua kujaza wasomi wenzake serikali Mh. Magufuli.

Lakini kinachoendelea kwa hawa mawaziri kutoa matamshi ya kupingana kuonaonyesha kuwa incopetence ya hali ya juu sana na mbaya zaidi cha kujiuliza ni je kama katika ngazi ya juu huko serikalini hali ni hii je huku chini hali itakuwaje?

Hawa mawaziri na wakuu wa mikoa wanapingana kila kukicha, nilitegemea competency ya hali ya juu sana toka kwa utawala wa Rais Magufuli na kwa kweli nashindwa kuelewa tatizo ni nini?

Utashangaa wananchi wako tayari kulipa kodi zao au madeni yao wizara ya ardhi na kwingineko lakini serikali hii haitaki kutumia teknolojia ili watu waweze kulipa pesa kupitia sim zao za mkononi mwishowe serikali hii imeanzisha urasimu mwingine wa kufungisha watu mafoleni kutwa nzima ofisi za ardhi, TRA na kwingineko

Wakati huo huo mawaziri wa serikali wanaendelea kukwizana na kupingana openly.

Kama alivyosema George Orwell, sasa hivi the young are generally thwarted and most of the power is in the hands of irresponsible uncles and bedridden aunts. Mbaya zaidi wote wanaogopa technology ambayo itawafanya waonekane ni wazugaji tuu na redundant. Mawaziri wanapiga vita civil servants, wanasiasa wanapingana wenyewe kwa wenyewe, wananchi tumebaki bumbu wazi kama mayatima hatujui la kufanya.


The only person mwenye uwezo wa kuokoa hili jahazi juzi alitambia anajitathmini na mimi amshauri afukuze kazi hawa wasioweza kufanya kazi zao na hawa wengine wenye kuendekeza Managament by walking about (MBWA) ambazo hazina tija yoyote ile.
 
Umekuwa too theoretical mkuu! Hebu weka hiyo mifano ya incompetence na migongano ya mawaziri vs ma-rc nk nk.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom