Search results

  1. Samcezar

    Single mothers ni athari na madhara yanayotokana na kampeni ya usawa

    "Aoae mwanamke mwenye mtoto na hana akili" Da'vinci' 2024. [emoji1540]Wajukuu zetu watakuwa wanakusoma kwenye somo la sosholojia miaka ya 3024 huko kama mhenga wa miaka hiyo. [emoji23][emoji23][emoji23]
  2. Samcezar

    Single mothers ni athari na madhara yanayotokana na kampeni ya usawa

    Hii point ni nzito sana, inatakiwa ikapelekwe bungeni kujadiliwa. Ila wale wasimbe pale bungeni ni wanafiki sijawahi kupata kuona.
  3. Samcezar

    Inawezekana vipi mtu kuweka roho yake kwenye mti?

    Nendeni sasa au kondoo hawapatikani? Bebeni hata nguruwe muende nao mtaongea na mizimu tu itawaelewa. Na hawa wazee kwann wanapenda kuendekeza mikataba ya siri na mamizimu yao huko maporini? Aaaaagh
  4. Samcezar

    Unahitaji mtoto wa Kambo au Kumuasili?

    Ni mtazamo na fikra zako tu, nadhani wewe ndie unatakiwa kubadilika na kupewa elimu kuhusu matumizi sahihi ya neno kambo.
  5. Samcezar

    Unahitaji mtoto wa Kambo au Kumuasili?

    Acha mizaha na utoto wewe, unadhani hapa tupo kwenye mchezo na mizaha? Watu wanajadili mambo ya msingi unaleta utani utadhani kila sehemu ni sehemu ya utani.
  6. Samcezar

    Unahitaji mtoto wa Kambo au Kumuasili?

    Hii program ni nzuri sana kuwasaidia watoto kupata malezi ya familia na kuwa na nyumbani kwao. Hakuna kitu kibaya kama mtoto kukua akiwa hajui kwao ni wapi, hajui nani wa kumwita baba nani wa kumwita mama. Pongezi sana kwako na kwa wizara kwa kulitambua hili mheshimiwa waziri. Naomba kuongezea...
  7. Samcezar

    Naweza kupata spray ya kuondoa mikwaruzo kwenye gari?

    Wapo mikocheni pale njia kama unakwenda rose garden pale. Au nenda kule barabara ya kawe ulizia gereji ya spring city ya wachina. Utaelekezwa.
  8. Samcezar

    Dawa ya kuzuia magari madogo kuoza, kwa Dar

    Kuwa makini na maji unayooshea gari, inawezekana unatumia maji yenye chumvi.
  9. Samcezar

    Kwanini ni mwiko kumnyima mtu chakula?

    Sio vizuri kumnyima mtu chakula.
  10. Samcezar

    Tofauti ya Kufanya mapenzi, kujamiiana na ngono

    Amekosea wapi sasa hapo na wewe, hatlya wewe unaejua lugha tuambie amekosea wapi? [emoji848]
  11. Samcezar

    Imekula kwako kama mke wako ana Makundi ya Mashosti

    Siku wanaume wakiacha kulia lia, mtatafuta suluhu mbinguni. Subiria muda ni rafiki mzuri sana kwa werevu.
  12. Samcezar

    Nawezaje kumwambia mpenzi wangu au kumshawishi tutumie condom wakati miaka ya nyuma tulishiriki tendo kwa pamoja bila ya kinga?

    Wewe ni mwanamke au mwanaume maana hata hauna adabu unakuja kuomba ushauri bila kujitambulisha. Maswala ya condom huwa yanashauriwa kulingana na jinsia husika.
  13. Samcezar

    Kwanini wanawake wakitupa tamu wanaona wametuhurumia na siyo haki yetu?

    Ukishaonyesha kuwa unahamu sana ya kitu fulani na haupumui bila kukipata unadhani yule anachokimiliki atakuacha salama? Kipotezee uone atakavyobembeleza akuonjeshe.
  14. Samcezar

    Kati ya simu tatu zinazopigwa, mbili ni za mtu anayetaka apewe pesa

    Watu wanajikuta wanaishi kwa bajeti sana siku hizi kiasi kwamba ubinafsi unawavaa wanasahau kuwa mwenye shida akikuomba na unachokidogo cha kutoa basi usianze visingizio. Toa itajulikana mbele. Leo umenipiga tafu 10,000 kesho utanikuta mazingira ya kukusaidia milioni. Ila kwasababu watu...
  15. Samcezar

    Nimepewa habari kuwa mume wangu ananisaliti, naomba ushauri jinsi ya kusahau jambo hili

    Mwanaume akiwa anapesa za mawazo au hana pesa mwanamke akiskia mume wake anajihusisha na mwanamke mwingine utasikia mke anasema "Mume wangu ananisaliti na wanawake huko nje" Ila mwanaume akiwa na pesa zake na mali za kutosha mwanamke wake utasikia anasema, "Wanawake huko nje wanataka kuniibia...
Back
Top Bottom