Nimepewa habari kuwa mume wangu ananisaliti, naomba ushauri jinsi ya kusahau jambo hili

Mwanaume akiwa anapesa za mawazo au hana pesa mwanamke akiskia mume wake anajihusisha na mwanamke mwingine utasikia mke anasema "Mume wangu ananisaliti na wanawake huko nje"

Ila mwanaume akiwa na pesa zake na mali za kutosha mwanamke wake utasikia anasema, "Wanawake huko nje wanataka kuniibia mume wangu"

Kuwa makini sana na lugha za wanawake wanapokuwa wanasema jambo huwa ujumbe ni kinyume chake.
 
nimekuelewa sana humu.
 
😂 😂 😂 😂 😂 umetisha
 
Kinyume kivipi?
 
Huu ujasiri wakuandika hapa umetoa wapi?hivi unafanya mchezo,mumeo akachovye anapochovya kaka wako wa damu,halafu akuchovye na wewe? Vyuzi lazima zikate ila we ujasiri umetoa wapi?
 
Labda nikwambie kitu kimoja kwa sisi ambao wake zetu ni wafanyakazi wengi tunaamimi wanabinuliwa huko makazini, ila kwakuwa hatujui wala haina shida uchi hauna makombo.
Mkuu, ukijua maana yake itakupa shida, ingawa bado itabaki vilevile kuwa uchi hauna makombo. Ishu inayokupa amani ni kuwa hujui, ingawa hisia unazo kwa kuwaza au kuambiwa

Sasa huyu ameshajua hivyo tayari pana shida, tofauti na nyie ambao hamjui. Kujua ndiko kunakoharibu kila kitu.
 
Si kwamba kisa hakiwezi kutokea,hapana. Shaka yangu ni jinsi steering wa hiyo movie anavyoact. Inakuwa kama movie ya kihindi vile? Yani kuambiwa tu na kaka, mbioooo kumuuliza mume. Hii inanifanya nione hii ni script tu mtu anaandaa movie.
 
Polee Sana dad poleee! Hii ni situation ngumu Sana na mbaya Kui, Handle kaa utuliee ongea hii shida Kwa watu mbali mbali utapata msaada na utakuwa sawatu
 
Huyo kaka yako ni FALA, Ndoa yake imemshinda, kashindwa kumlinda mke wake sasa anataka na ndoa yako ivunjike. Mwambie apambane kujrudhisha mke wake na kama wameachana basi asimmyafatilie maisha yake
 
Huyo kaka yako ni FALA, Ndoa yake imemshinda, kashindwa kumlinda mke wake sasa anataka na ndoa yako ivunjike. Mwambie apambane kujrudhisha mke wake na kama wameachana basi asimmyafatilie maisha yake
Mkuu, mwanaume hana jukumu la kulinda ndoa. Ndoa inapovunjika anayetajwa kuzembea kuipambania ni mwananmke, Mwanamke mpumbavu hubomoa nyuma yake kwa mikono yake nwenyewe. Kaka wa mtoa mada hajafeli popote na wala sio fala, huwezi acha shetani awachezee na unajua halafu ukae kimya sababu tu unaogopa kuvunja ndoa ya mdogo wako.
 
Ulikurupuka kwenda muulza mumeo ungechunguza Kwanza na kuwa na uhakika wa Hilo suala..ukawa na ushahidi wa kutosha kiasi kwamba ukimuonesha mumeo asiweze kukana alafu umuuluze nini hasa kilimfanya akusaliti na wifi yako kama anampenda basi achana na hiyo ndoa..kama ni tamaa tu muadhibu kwa kawaida na uendlee na ndoa yako mlee watoto wenu..
 
Any update???

kwa afya ya moyo na mahusiano yenu Usisikilize ya kuambiwa!
 
Wana JF habari za mchana,
Naimani mko poa na mnaendelea na harakati za kutafuta pesa.

Iko hivi, Jumatano saa 10 jioni nikiwa office kwangu simu yangu ya mkononi inaita, kuangalia kaka, ana mke na watoto 2 anaishi maeneo fulani hapo Dar, nikapokea tukasalimiana kwani in muda mrefu hatujawasiliana.

Baada ya salamu kaka akaniambia Sister kuna jambo nataka nikwambie. Leo nimekaa nalo muda mrefu sana bora nikueleze tu nikamjibu niambie tu usijali, my kaka akaniambia nmekorofishana na mke wangu, kanipeleka polisi, nimetolewa na rafiki zangu tumekorofishana sana mke wangu ameondoka ameenda kuishi kwa Dada yake simtaki tena yule mwanamke ni hatari sana simtaki yani simtaki kabisa, nikamuuliza kimetokea nini mpaka aondoke my kaka akanijibu nimegundua mke wangu anatembea na mume wako muda mrefu tu ila nilikuwa naogopa kukwambia kwa ajili ya ndoa yenu ila nimeona anazidi nimeamua nikueleze ili uamue cha kufanya.

My kaka anaendelea yaani huyu mwanamke ni shetani kabisa sister mfate mfate mkamkomeshe. Mmmh, nikashtuka kidogo, nikatafakari huku nimeshtuka ni jambo jipya na geni kwangu.

Mmh nikashtuka tena nikamuuliza my kaka umejuaje hilo akaniambia nimekuta picha WhatApp na chat zao wanawasiliana na pia mama mkwe wako anamjua na wifi zako wanawasiliana sana na mke wangu hata shemeji yako anamjua vizuri mke wangu.

Akaendelea kaka kuniambia mume wako akiwa anaenda Tanga kikazi huwa anaenda na mke wangu na wameenda huko Mara nyingi tu, kweli mwili uliniisha nguvu nikawa natetemeka heeee ni ndoto au naelenzwa live? najiuliza.

Kaka anaendelea nilimpigia simu mume wako nikamwambia mbona unachit na make wangu mume akajibu nitakutafuta niko bize sana muda huu (mpaka nakupigia simu hii hajawahi kunitafuta ila huo ndio ukweli sister, my kaka anaendelea hata huyo mtoto wa pili aliozaa mke wangu nahisi sio mtoto wangu amezaa na mumeo, jamaniiii acheni tu.

Nikarudi home nikamuelezea mume wangu akakataa. Amenieleza mengi mengi ila kwangu halifutiki naomba mnisaidie nifanyeje?

Linapita kichwani muda wote.
Huyo mumeo ni katili sana kwa familia yenu. Yaani amekuja kwenu kuoa halafu akaona haitoshi akamgonya na mke wa kaka yako. Kwa hiyo hapo bro wako katombewa dada na mkewe. Dah noma sana aisee sijui ulimtoa wapi huyo mwana hizaya
 
Back
Top Bottom