Search results

  1. born again pagan

    Msaada: Gharama za ununuzi wa gari za mashindano

    Wakuu habarini za mida na pia poleni na mishe mishe za hapa na pale katika harakati za kulijenga Taifa letu. Bila ya kupoteza muda, naomba mwenye uzoefu au ufahamu wa ni kiasi gani cha pesa "za kitanzania" zinahitajika kupata gari za mashindano yaani Rally Sports Car. Aina yoyote ya gari iwe...
  2. born again pagan

    Msaada: Mwenye game ya IGI 3 & 4

    Kwa wale wapenzi wa game za mortal combat hii inawahusu sana. Ninatafuta game ya Project IGI 3 na 4, pia nahitaji game ya call of duty. Mwenye nazo tafadhali tuwasiliane.
  3. born again pagan

    Samatta azidi kutisha huko Belgium

    Mshambualiaji hatari wa Taifa Stars na mchezaji wa zamani wa Simba na TP Mazembe ambaye kwa sasa anakipiga kwenye club ya KRC Genk ya huko Belgium inayoshiriki ligi kuu ya huko ijulikanayo kama Pro league. Jana 21 august Genk ilicheza mechi yake ya 4 tangu msimu huu uanze na walicheza wakiwa...
  4. born again pagan

    Gari inahitajika fasta "Harrier"

    Wakuu habari za majukumu. Bila ya kuchelewa wala nini,naomba tujikite kwenye mada hapo juu. Harrier yenye specs zifuatazo inahitajika 1: colour "black or silver" 2: transimission "auto" 3: cc "angalau 2130" 4: mileage "isizidi 100,000" 5:Right hand 6: isiwe imewahi kupata ajali more info...
  5. born again pagan

    Wenye nyumba hodi humu ndani

    Wakuu mi ni mgeni humu jamvini naombeni sana mnipokee.. Ninaahidi kutimiza yote yanayopaswa kutimizwa humu jf ili niepuke vitu kama ban au kukwaruzana na members wenzangu with no good reason..pia naomba kuelekezwa tunaishije humu ndani? Je kuna donation yoyote to make the forum alive...
Back
Top Bottom