born again pagan
JF-Expert Member
- Apr 28, 2014
- 2,336
- 1,491
Wakuu habarini za mida na pia poleni na mishe mishe za hapa na pale katika harakati za kulijenga Taifa letu.
Bila ya kupoteza muda, naomba mwenye uzoefu au ufahamu wa ni kiasi gani cha pesa "za kitanzania" zinahitajika kupata gari za mashindano yaani Rally Sports Car.
Aina yoyote ya gari iwe ni:-
1. Mitsubishi Evo series
2. Subaru N series
3. Ford Porto frester.
Najua JF is Google like search engine ambayo watu ufanikiwa katika shida zao mbalimbali.
Nawasilisha.