Search results

  1. kioju

    Ujumbe wa Askofu Kakobe, mtego kwa CHADEMA unaoelekea kuwashinda kuutegua

    Ni takribani siku Nne sasa toka taarifa zizagae hasa katka mitandao ya kijami,i kuhusu ujumbe na Neno alilotoa Askofu Mkuu wa kanisa la Full Gospel Bible Fellowship Z.Kakobe, kwa vyama vya upinzani hususani chama kikuu cha upinzani kwa sasa CHADEMA juu ya kauli za viongozi wake mbalimbali...
  2. kioju

    Hivi ndivyo tulivyotapeliwa na Ontario wa TMT kwenye Forex

    Jina tu linasadifu yaliyomo bado unahangaika nae, yeye naye yuko kwenye lile group la fx is not for everyone akiwemo sasa unategemea atakuelewa huyo mkuu
  3. kioju

    Hivi ndivyo tulivyotapeliwa na Ontario wa TMT kwenye Forex

    Mkuu hiyo bznes watu wameanza mwishon mwa mwaka jana tu leo hii wajenge? Imekuwa ni kuchota hela et? Hakuna bznes ya hivyo ile bznes ukiitazama kwa haraka unawezafikiri ni nyepesi lkn ingia kuifanya ndo utajua ugumu wake hasa ukiwa na ka acc ka dola 100 ndo itakuwa unachoka tu
  4. kioju

    Kubadilishana intake Law school January na June 2018

    Salaam wadau namshukuru Mungu nimekua mmoja wa waliochaguliwa kujiunga na Law school kwa mwaka wa masomo wa 2018 lakin nina shida moja ya intake, niko intake ya June kama kuna mtu aliyechaguliwa january na angependa kuingia June tubadilishane na tuwasiliane tafadhali Shukran
  5. kioju

    Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na yaliyo nyuma ya pazia

    Acha kuongea upupu wewe, una ushahidi gan wewe kuwa Ontorio kawakimbia raia? Fanya research uje na majibu ya uhakika sio unakurupuka na dhahania, uvivu wenu wa kuchunguza ndio maana mkiambiwa vichwa vya train vinaokotwa bandarin mnashangilia. Taifa kuwa na vijana kama nyinyi hasara sana.
  6. kioju

    Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na yaliyo nyuma ya pazia

    Hahahahaaaaaaaaaaaaa dah mkuu umenichekesha sana
  7. kioju

    Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na yaliyo nyuma ya pazia

    Mkuu toka 2006 unatrade hata kusyua wana hutak ama kwel mna roho ngum had kijana wa watu kaja kusanua maraia juz kat hapa
  8. kioju

    Anahitajika mtu mwenye talent ya kutangaza

    Tena maandaz ya Azam, tunga lako na wewe uweke usidandie langu
  9. kioju

    Anahitajika mtu mwenye talent ya kutangaza

    Yeah maana yupo daktar wa mitishamba na bado ni mwanasheria Karibu mkuu
  10. kioju

    Anahitajika mtu mwenye talent ya kutangaza

    Asante kwa kuliona hilo mkuu
  11. kioju

    Anahitajika mtu mwenye talent ya kutangaza

    Labda niseme hivi kwa mtu aliyesoma sheria mwenye talent ya kutangaza maana imejua kama nimekosea sana. Wasiwasi wenu ni nini una sifa nitafte huna pole
  12. kioju

    Anahitajika mtu mwenye talent ya kutangaza

    Si wanasheria wote wanauwezo wa kutangaza niliposema sifa hizo namaana yangu jaman sasa kama tangazo halikufai basi talent does not mean your uneducated guys tusichanganye hilo
  13. kioju

    Anahitajika mtu mwenye talent ya kutangaza

    Wewe uliempa hizo hbr za tangazo hili si akupe no utume inbox, ndio ni kweli natafta mtu ndio maana nimeleta tangazo hilo
  14. kioju

    Anahitajika mtu mwenye talent ya kutangaza

    Pole sana mkuu ila bado unathamani tunza kipaji chako
  15. kioju

    Anahitajika mtu mwenye talent ya kutangaza

    People we need to change sure, hiv hakuna, mawazo mbadala zaidi ya ngono duuuuh!
  16. kioju

    Anahitajika mtu mwenye talent ya kutangaza

    Ipo siku utanielewa ila kwa sasa huwez tuvumiliane tu ila asante kwa ushauri
  17. kioju

    Anahitajika mtu mwenye talent ya kutangaza

    Pole sana omba msaada kwa jiran yako maana JF wengi wanajua kutumia naweza kujusaidia kwa hilo tu
  18. kioju

    Anahitajika mtu mwenye talent ya kutangaza

    Mkuu tafadhari kama huitaji acha sikulazimishi swala la mimi kuoa linakuja vipi hapo kama mnawaza habari za mahusiano hapa mtachelewa sana kuendelea tuweni na mtazamo chanya, basi mje na boyfriend/girlfriend wako kama unahisi kuibiwa
Back
Top Bottom