Search results

  1. prototypeman

    SoC02 Mtaala Wa Elimu; Nini tuboreshe kwenda sambamba na madadiliko ya Dunia

    Habari wakurungwa wa Jamii Formu. Nakumbuka nilipokuwa mdogo yapata kama mtoto wa darasa la tatu hivi, siku moja nilikuwa na mzee wangu akaniambia jitahidi sana kusoma kwani elimu yako ndio ufunguo wa maisha yako. Kwa kweli sipingani na ushauri wa mzee maana miaka ile ya 2000 mwanzoni...
  2. prototypeman

    Computer4Sale Laptop inauzwa

    Nauza laptop ina shida ya HDD na touchpad Bei 100,000/= fixed Ram 2gb Screen inchi 13 Cpu 2.1ghz Bettery 3hrs Model ACER Whatsapp 255659749219
  3. prototypeman

    Umuhimu wa huduma ya Paypal Tamzania

    Habari za majukumu wana Jf. Nimeona nitumie muda wangu kuandika hii nyuzi kusisitizia juu ya umuhimu wa Paypal kwa maisha yetu watanzania. Kwa sasa Tanzania tunaweza kutuma pesa tuu hatuwezi kupokea pesa kwenye Paypal account zetu. Hii ni changamoto kubwa hasa kwa vijana wasiokuwa na ajira...
  4. prototypeman

    Hodiiiii

    Hoodii wapendwa naomba mnjpokee kwamikono miwili
  5. prototypeman

    Bussiness information techonology vs purchasing and supply management

    poleni na majukumu jamani,naombeni kujuzwa ipi professional yenye wepesi wa ajira kati ya hizo tajwa hapo juu? katika ngazi ya digrii.
Back
Top Bottom