Search results

  1. chiko

    Jee Ukilala, una jihifadhiii!!!!!

    Katokea swahiba yangu kazini, kanipa kisa kimetokea mtaani kwao. Moto mkubwa sana ulitokea mwendo wa masaa ya manane usiku...katika patashika mtaani, ilikuwa mguu niponye, moshi na kiza kutanda kila mtu mbio huku na kule. Rafiki yangu anambia, hajawahi kuona balaa na vituko kama alivyo ona...
  2. chiko

    Tahadhari na 'showstopper'!!!

    Showstopper... ni wale warembo ambao, wakipita barabarani waaacha waume domo zege, waume lazima wapinde shingo. Mwenyezi mungu kawaumba kwa MAKINI zaidi, nao wanajua, huongezea madaha. Warembo dizaini hii ni hatari sana sana!!!. Napenda kutoa kisa kilinipata na pia ni ushauri kwa kina kaka...
  3. chiko

    How much truth can you handle? Je waeza kuhimili ukweli wa mpenzi kiasi gani?!

    Nina rafiki yangu, yuko majuu kutafuta riziki, kaacha mke Bongo, jamaa ataka kila mara akimpigia simu mkewe, aambiwe kila kitu na mkewe, katongozwa, kachokozwa na watu na kila udaku mtaani. Mke hapendi na kanishtakia kwangu, mimi nikamuuliza swahiba, vipi haya mambo, utakuja zirai ama upate...
  4. chiko

    Eeehh Mwenyezi Mungu niepushe na Mali Nyingi!!!!

    Ndugu wanajamvi, napenda kuwashindikiza kwenye wikiendi na maombi ninayo oomba kila kuchao!!!!"Ewe Mwenyezi Mungu niepushe na Mali nyingi", kwanini nasema hivi, kwa sasa kipato changu nashkuru si cha juu na sio chini, napata mahitaji yangu na familia, lakini kwa muelekeo ni navyoona kwenye...
  5. chiko

    Nimetoa Ushauri Jamani, Lakini sijui kama ni sawa!!

    Nina Rafiki yangu tumejuana kitambo, kwa sasa ni zaidi ya ndugu. Ni mtu mzima amenizidi ki-umri. Bwana huyu amekua mgonjwa wa Figo kwa muda zaidi ya miaka Minne sasa. Ka talaka mke wake wa kwanza, na ana watoto watu wazima. Kaoa tena kama miaka mitatu iliopita, mama mmoja ambae aliachwa pia...
  6. chiko

    Kupiga bibi jamani si ustaaarabu!!!!!!

    Nimeshuka wanajamvi baada ya kukaa manyasini nikichungulia chungulia jamvi. Nimejaribu kujiuliza bila ya kupata jibu, hivi katika karne hii bado kuna mababa wanapiga wake zao!!. Imenitokea mimi mwenyewe binafsi, ikabidi nihame nyumba, sababu jirani alikuwa na tabia mbaya ya kutwanga mke...
  7. chiko

    Wana jf hamna harusii!!!!!!

    Sabalkheir wangwana, ishafika tena ule mwezi wa mashamramra ya KUO au KUOLEWA. Nimeangalia hapa jamvini, nimengoja kualikwa lakini hamna!!, ama kila mtu ashafunga na kufungwa??????. Mimi nikisoma Threads zingine humu, jamaa hawaja kamatana, ama jamaa ikifika wakati, anafanya kimya kimya ...
  8. chiko

    One foot!!!!!

    A lady on Honeymoon, calls back home and get the father on phone " Daddy!, where is mum...(Sobbing)..How come nobody told me my Husband has one foot?", Daddy is confused, "What do you mean he has one foot? (Confused)... Calls the mother...." Honey! come and talk to your daughter, I dont...
  9. chiko

    Uraibu wa ngono

    Wanajamvi, Hube Someni; Im a Recovering Sex Addict Jennifer (not her real name), 36, lives in Miami. Although shes never touched drugs or alcohol, she has an addiction all the samesex addiction. Although not an official psychiatric diagnosis, Jennifers sex addiction has caused her tremendous...
  10. chiko

    Tafakari ya babu!!!!!!

    TAFAKARI YA BABU Jamaa kaoa mke mshamba asiyejua uume wala mapenzi. Usiku wa ndoa, Mke akamuuliza mume, " hiki nini?" Bwana akajibu, "Yaitwa popoo, ninayo mimi tu hapa duniani!!" Huku jamaa akaongezea. Siku moja jamaa akasafiri. Kurudi mke akamuuliza "Mbona jirani yetu Noel...
  11. chiko

    Jee ni kitoweo, ama ni order ya mganga?

Back
Top Bottom