Tahadhari na 'showstopper'!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tahadhari na 'showstopper'!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by chiko, Dec 27, 2011.

 1. chiko

  chiko JF-Expert Member

  #1
  Dec 27, 2011
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 465
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Showstopper... ni wale warembo ambao, wakipita barabarani waaacha waume domo zege, waume lazima wapinde shingo. Mwenyezi mungu kawaumba kwa MAKINI zaidi, nao wanajua, huongezea madaha. Warembo dizaini hii ni hatari sana sana!!!.

  Napenda kutoa kisa kilinipata na pia ni ushauri kwa kina kaka, kwani damu ikiwa yachemka mtu akili hutupa jaani.

  Ilikuwa wakati kama huu wa December, miaka kadhaa iliopita, kazini kwetu aliandikwa msichana mmoja 'Showstopper', kama mpokezi wa wageni na secretari. Wakati huo mimi sijao na damu yanichemka. Katokea mzee mmoja twafanya nae kazi, katika maongezi ya kazini, akatuasi..."Vijana wangu, mimi ni meishi sana na nimeona mengi, Wasichana kama huyu 'Showstopper', mchunge sana, watu hawa ni balaa!!.

  Mimi nikiwa kwenye mashindano na wenzangu, nikajua hawanipati, ushauri nikatupa mbali, nikaanza kunyemelea, muda haukupita, 'showstopper' akawa wangu, tukirusha roho na kufunga mwaka. Haikuchukua muda, mimi pia nilikua si kidogo, nikaona mbio zake si wezi, nikamwachilia.

  Kumbe Bosi wetu nae alikua ananyemelea, akaingia kwenye mtego!, Bosi alipelekwa mbio, kiasi hata kutumia hela za kampuni kumstarehesha kimwana. Mwisho Bosi na 'Showstopper' walipatikana na scandal ilio wafuta kazi.

  Hii hadithi yoote, ni kwa masharobaro, wasichana hawa 'Showstopper' ni moto wakuotea mbali...chungeni sana , waweza kukupa kifo cha haraka, akufanye uibe ama kuachishwa kazi!!!

  MWAKA MPYA MWEMA!!!!!
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Dec 27, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  wamekusikia
   
 3. huzayma

  huzayma Senior Member

  #3
  Dec 27, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 127
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  livundalo halina ubani.
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Dec 27, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  sasa kama mie mzuri sana, nijibonde bonde?
  Tamaa zenu na tabia mbaya za baadhi ya watu isiwe sababu ya kuvictimise wanawake wote wazuri

  hebu ngoja nikapake mascara mie.
   
 5. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #5
  Dec 27, 2011
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,341
  Likes Received: 2,351
  Trophy Points: 280
  Kongosho umenifurahisha sana.KWELI KABISA SIO WOTE LAKINI.Mtoa thread umelenga kuwacomfort wasichana wasio wazuri ki sura(tena haswa wanaowaogopa wasichana wakali)UMEFANIKIWA KUBOOST MARKET YA WASICHANA WALIO SIO WAKALI.
   
 6. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #6
  Dec 27, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Kumbe wanaitwaga "showstopper"??
   
 7. Angel Nylon

  Angel Nylon JF-Expert Member

  #7
  Dec 27, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 4,471
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  Mh! Uzuri mtihani. Ila sio wote wapo ivo kakaangu.
   
 8. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #8
  Dec 27, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,660
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Wamekusikia hao masharobaro..#Sio vyote ving'aavyo ni dhahabu...!
   
 9. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #9
  Dec 27, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  hao dawa yao ni kuomba mzigo na kuula basi ikiwezekana unamuomba tigo
   
 10. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #10
  Dec 27, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,660
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Akikuharishia utasemaje...#Mmmh,jamaani...
   
 11. Junior. Cux

  Junior. Cux JF-Expert Member

  #11
  Dec 28, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 5,305
  Likes Received: 1,229
  Trophy Points: 280
  huyo atakua sio showstopper, wenyewe wanatoa cake...
   
 12. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #12
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,660
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Akiharisha that means amekubuhu kwenye tiGO mpaka kumelegea...anyways,kumbe wao wanatoa vyenye 'icing sugar'...sikujua!!
   
 13. Mti Mkavu

  Mti Mkavu Member

  #13
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 20, 2008
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Laiti kama ungenisikiliza yasingalikukuta yaliyo kukuta,
  pole sana kijana,
  hata huyo pia nilimweleza ula hakusikia.
   
 14. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #14
  Dec 28, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hahahhhhhhh kongosho umenifurahisha sana! Hizi thread za hivi bana! Zinanifanya nijiulize hivi hakunaga namna ambayo mwanaume anawezamdhibiti mwanamke asimwache? Yaani amchengue kiasi cha kumfanya wengine woote awaone kaka zake?
   
 15. Twande

  Twande JF-Expert Member

  #15
  Dec 28, 2011
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hahahaaa hii imetulia nimeipenda lol. . .
   
 16. chiko

  chiko JF-Expert Member

  #16
  Dec 29, 2011
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 465
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Siku sema hawafai, ni tahadhari kabla ya hatari!!!!, kwani weye Kongosho ni 'showstopper'????
   
 17. chiko

  chiko JF-Expert Member

  #17
  Dec 29, 2011
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 465
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Ni vizuri kujua, na pia kuambiana ni bora!!!
   
Loading...