Search results

  1. Saplaiz

    Car4Sale Suzuki Carry (Kirikuu) inauzwa 5m

    Bado ipo sokoni Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Saplaiz

    Car4Sale Suzuki Carry (Kirikuu) inauzwa 5m

    Kama kichwa cha habari kisemavyo hapo juu. Imetembea 195,000km Namba D iko kwenye hali nzuri kama inavyoonekana hapo pichani Bei tsh milioni tano Location: Ubungo DSM Call: 0683 360972 Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Saplaiz

    Membe jiandae kisaikolojia

    Umeeleweka msemaji wa watanzania, tusubiri 2020
  4. Saplaiz

    Time Travel: Je, linaweza kuwa suluhisho la kifo?

    Interesting article lakini sijaelewa ni kwanini Traveller arudi past kuua wazazi wake? By the way kuna series naiangalia inashahabiana na haya maudhui though ni kwa angle tofauti inaitwa counterpart
  5. Saplaiz

    Nani anaweza akaniambia huyu ni mnyama gani..?

    Huyo mnyama anaitwa Diamond platinumz
  6. Saplaiz

    Muzungu ametoka mbali kumbe aisee, hii ni Liverpool, Uingereza miaka 1890!

    Kipindi hiki sijui Africa ilikua kwenye hali gani Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Saplaiz

    Kwa wanawake jf hakuna mwanaume mkweli

    Duh yaani mtu kuzingua kidogo tu unakuja kumuanzishia uzi, I feel very sorry for you. Na usitegemee mtu akajiweka kwako kwa style hii
  8. Saplaiz

    Tulionyimwa appointment na wapenzi zetu leo x-mass tukutane hapa

    I'm sure ulimaanisha declare instead of decrare
  9. Saplaiz

    List ya madaraja yaliyovunja rekodi kwa urefu zaidi duniani

    Mkuu siku nyingine anza na namba kumi kushuka chini mpaka moja, inapendeza zaidi.
  10. Saplaiz

    Fiesta kuzuiwa: Clouds wanaweza kuishtaki Manispaa na kudai fidia ya mabilioni, maamuzi yao yanaichafua awamu ya tano

    Yaani JPM au Majaliwa watoe kauli kuhusu fiesta [emoji44] are you serious!? [emoji848]
  11. Saplaiz

    Amini Kwamba Wakenya wanatuzidi Comedy Tu

    Eric Omondi, the greatest of all
  12. Saplaiz

    JamiiForums Usiku wa manane

    Copa Cabana mtwara (Gas city)
  13. Saplaiz

    Otile ameangusha nyingine bonge la

    Kwani hao Nigeria et al., mziki wao wanasapotiwa na nchi zao pekee au mi ndo sielewi [emoji849]
  14. Saplaiz

    JamiiForums Usiku wa manane

    Wapiga ubwabwa
  15. Saplaiz

    Swala la kampuni za mabasi kuwa wanaweka nyimbo na movie

    Hii nimeiona kwenye mabasi mbalimbali mpaka sicheki tena nikiiangalia
  16. Saplaiz

    JF Party On My Mind

    Ila siku moja baada ya hiyo party natabiri uwepo wa nyuzi nyingi za namna hii; "Dada uliyevaa gauni jekundu nimekuelewa sana come inbox please" ............etc
  17. Saplaiz

    JF Party On My Mind

    Nimesha subscribe, nasubiri date na venue
Back
Top Bottom