Search results

  1. CHANZO

    Ziara za ACT - Wazalendo zawapagaisha CHADEMA

    Mkiambiwa lengo lenu kuu ni kupambana na CHADEMA mnakataa...
  2. CHANZO

    Ushauri: Kaolewa na mzee anataka niwe nae naogopa

    Wewe utakuwa Supu ya Mawe
  3. CHANZO

    Mke wangu kamtembezea kipigo mchepuko wangu

    Huyo wife ndio huwa anakupa vibao mara kwa mara?
  4. CHANZO

    Waziri mwenye dhamana uko wapi? Piga marufuku mavazi ya ajabu tumechoka

    Hoja nzuri, lakini Kiepe Yai kwa mtiririko wa post zako inaonyesha upo kinyume na hoja hii, yani wewe ndio unataka vimini vviendelee kupandishwa juu zaidi
  5. CHANZO

    Nimeokota simu mwenye simu amesema nimrudishie anipe papupichi

    Huo ni wizi saa, huna dini wewe, au huwa hauendi misibani ukaona kuwa ipo siku takufa ukiwa na simu ya dhuruma.hebu mrudishie BURE simu yake.
  6. CHANZO

    Hawa ni wasanii waliohit na ngoma moja na kupotea

    Picco- Kikongwe...
  7. CHANZO

    Ubaguzi unaendelea kuitafuna CHADEMA

    Hahahaa na yule wa Nzega.... sijui vip
  8. CHANZO

    Lulu Michael: Kuhongwa ni presha tu

    Chanzo cha habari plz
  9. CHANZO

    Afande Sele: Mtunzi bora wa muda wote, Muziki wa Bongo Flavour

    Toka niga J wa chemsha bongo, hadi yule Prof J, wa bongo dar es salaam, Ndio mzee, Salamu Bibi na Babu,Jina langu, Tathimini, Niamini,Machozoi jasho na Damu, akaja yule, Sio mzee, Msinitenge.....Huyu jamaa anafaa kuwa namba moja wengine waanzie namba 3.
  10. CHANZO

    Hawa jamaa wanachafua gemu la muziki na wasanii wao

    Kabla ya ujio wa hawa jamaa, ilikuwa kila mwenye uwezo na kipaji lazima atasikika na kutusua. Yaani msanii akiwa na uwezo lazima atapenya tu, Redio zote zilikuwa zikitenda haki. Sasa ujio wa hawa jamaa (Mamenejaa), mbali na mambo mengine, mimi naona sasa hivi ndio wanaamua nani atoke nani...
  11. CHANZO

    Wapi Nurueli?

    Tupo wengi tunaomkubali sema gemu gumu vipaji sio tena dili, dili ni kuwa na connection.....Jamaa anakomaa na gemu kuna wimbo mpya wa Kala jeremia ameimba kiitikio....wewe jiulize hivi Nuh Mziwanda anaimba nini hadi apate shows na air time ya kutosha?
  12. CHANZO

    Dr. Nchimbi na urais 2015

    Tukiwa chuoni,mwaka 2012 kijana mmoja kutoka Songea aliwahi kusema kuwa Nchimbi nae anautaka, Wengi tulichukulia kawaida lakini sasa naanza kuona jamaa anaweza kupenya. nakupeperusha bendera ya CCM mwaka huu.Tafadhali kama kuna mtu amamfahamu vizuri huyu jamaa hebu atujuze.
  13. CHANZO

    Charlie Hebdo: Makanisa yachomwa moto Niger

    Si dhani kama kuna dini inafanya hivi....bali ni watu ndio wanafanya hivi...ila sasa reaction ya dungu zetu huwa inakwenda kwenye dini fulani...hebu waje waseme hapa wanafundishwaga nini huko madrasa
  14. CHANZO

    Changamoto zinazoleta ugumu kwa single mothers kuingia tena kwenye ndoa

    Duh hehhehehe wewe kweli noma..ila unaonekana unaogopa sana kugongewa....umesahau kuwa hata kama haja zaa anaweza kuwa na mtu wake ambae anaweza kumgegeda muda wowote?...
  15. CHANZO

    Chama cha ACT-Tanzania chafanya tathmini ya uchaguzi wa Serikali za mitaa jijini Dar

    Mwigamba mbishi sana......Hivi huyu jamaa kabla ya siasa alikuwa anafanya kazi gani? Makamu Mwenyekiti wa ACT-Tanzania ,Bara ,Shabani Mambo Akizungumza katika kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama hicho kilichofanyika leo katika...
  16. CHANZO

    Spotted:Mama Tibaijuka Akiwa Pekupeku Jimboni

    Hongera sana mama, cheo ni dhamana
  17. CHANZO

    Yanayojiri katika Sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar uwanja wa Amaan

    mkuu wa majeshi ya ulizi, mwamunyange yupo kweli hapo?
  18. CHANZO

    Matonya Azidisha Ulevi Hadi Kupoteza Fahamu..

    Niki mbishi kamwaga manyanga, Kina ferouz na daz baba hali mbaya,Juma nature nae mitungi tuuu!!! sasa huyu nae alietamba na nyimbo kali kama ANITA, ndio amefika hapa!!!
Back
Top Bottom