Search results

  1. mtzd

    Huu ni wizi! Bei ya Meter ya LUKU??

    Ndugu wana JF,naomba kuuliza kwa anayefahamu hili au kama kuna wahusika humu waweze kutufahamisha mimi na pengine wenzangu wasio fahamu hili.Hivi unapofungiwa umeme na TANESCO kwenye gharama za malipo mashine ya LUKU unatakiwa ulipe tofauti au,nauliza hivi kwani ilitokea ndugu yangu alifungiwa...
  2. mtzd

    TBC ,Hii ni nini? Na hii ndio tv ya Taifa,Duh aibu!!!

    Hii imeonekana kwenye taarifa ya Habari,hebu fikiria hii ndio tv ya Taifa ,unapata picha gani hapa?
  3. mtzd

    WITHHOLDING TAX from TRA? jamani yeyote mwenye kujua kuhusu hii tax atufahamishe.

    TaX? Kila kukicha watanzania tunazidi kuona mapya ya kutugandamiza tu,Leo nimeona mahali pameandikwa witholding Tax baada ya kampuni kufanyiwa malipo na kwenye kiasi ambacho kilitakiwa kilipwe wamekatwa asilimia 5 na pameandikwa ni WITHHOLDING TAX,kweli sijawahi kuona na hata sielewi maana...
  4. mtzd

    Tbc ni wezi!!

    Wadau wa Jf muhali gani,habari za humu jamvini,Kuna suala ambalo kwa kweli TBC wamelifanya nadhani si la kiungwana ,Kuna mashindano ya mpira wa Kikapu yanayoendelea mkoani Tanga,yalianza tangu tarehe 29/oct na yatamalizika Nov 5.Nasema ni wezi kwa sababu walisema wangeonyesha michezo hii...
  5. mtzd

    Kampuni ya simu ya TIGO ni WEZI

    Kwema wana JF, Hivi hawa wamiliki wa huu mtandao wa simu wana undugu na serikali yetu au? wana matatizo na ni wezi na hata tunapolalamika hawachukuliwi sheria yoyote na mamlaka husika. Jana niliweka salio kwenye simu yangu cha kustaajabisha nilipomaliza kuweka salio na mesegi ikaja kwamba...
  6. mtzd

    Taa ya mbele ya TOYOTA STARLET CARAT

    Wadau habari za muda na poleni kwa majukumu, Naulizia mwenye kujua zinapoweza kupatikana taa ya mbele ya kushoto ya Toyota starlet model ya carat ikiwa full pamoja na indicator yake.Tafadhali mwenye kujua zinapopatikana au mwenye nayo anifahamishe. ani PM au 0717-128448
  7. mtzd

    Wadau Natafuta nyumba ya Kupanga

    Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya sinza,mwenge,sayansi.k'nyama,victoria ,morroco, mahitaji: iwe na room 2 ,possible 1 iwe master, sebule jiko Bei Kuanzia 150-200. yoyote mwenye kujua ama anayo ani PM or 0717-128448 0755167768
  8. mtzd

    fitina kuhusu uzinduzi wa Ant-virus ya Sugu

    Wadau kuna ishu ya shoo ya uzinduzi wa Album ya Ant -virus na shoo nyingine pale mitaa ya Leaders, hii imekaaje maanake nimesoma kwenye mtandao na kusikia kwa baadhi ya vyombo vya habari kwamba shoo ya nani ilikua ya kwanza kupangwa. Kuna wanaosema shoo ya leaders ndio ya kwanza wengine ya...
  9. mtzd

    Huduma kwa Wateja TIGO mnatuboa!! Hamna Huduma za kuridhisha!!

    Wana JF,sijui kama kuna mmoja wenu ameshapatwa na hili,kwa kweli huduma zetu za mtandao wa TIGO siku hizi haziridhishi kabisa,mtu unapiga simu una shida ,cha kwanza simu haipokeliwi kuna number flani ya 0173800800 wanakwambia kabisa kila simu unakatwa sh 50 cha ajabu simu inaita zaidi ya dk 5...
Back
Top Bottom