Huduma kwa Wateja TIGO mnatuboa!! Hamna Huduma za kuridhisha!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huduma kwa Wateja TIGO mnatuboa!! Hamna Huduma za kuridhisha!!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by mtzd, Nov 1, 2011.

 1. mtzd

  mtzd Member

  #1
  Nov 1, 2011
  Joined: Jan 29, 2010
  Messages: 81
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Wana JF,sijui kama kuna mmoja wenu ameshapatwa na hili,kwa kweli huduma zetu za mtandao wa TIGO siku hizi haziridhishi kabisa,mtu unapiga simu una shida ,cha kwanza simu haipokeliwi kuna number flani ya 0173800800 wanakwambia kabisa kila simu unakatwa sh 50 cha ajabu simu inaita zaidi ya dk 5 mpaka 7 bila majibu na hata inapopokelewa hupati msaada unaouhitahi,kwa kweli mnatoboa sansa still mtu unaamua kwenda mpaka kwenye centre zao mambo yanakua hayo hayo,wanakutumia msg kwamba tatizo lako linashughulikiwa almost up to three hours mtu una shida na TIGO-PESA na still hufanikiwi.tafadhali wahusika suala hili ni muhimu sana,Mtu unakuta una mgonjwa na unahitaji fedha kwa ajili ya kukuwezesha kumfanyia mgonjwa wako malipo na dawa,kweli hii ndio huduma mliyotuahidi.inaumiza sana na kuchukiza.
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  TIGO ni km kibibi kizee..wana uduma za ajabu
  afu wez sana....unapiga kdg wanakata sanaaaaaaaaaaaa
  na matangazo yao ya ujumbe ahh yanaboa..wana matangazo meeeng

  kinachoniboa ..NI ZILE SIMU YAO WANAPIGA AFU UNASKIA HALOOOOO JE UANATAKA AFIKI SJUI MPENZI.....yaan km makahaba yan ahh wanaboa sana sjui wanazan wateja wao wote ni watoto.ao akina fes buku. ao wanaotafuta wapenz kwa mitandao..ahh yan wanaboa sana..et ohh ukitaka mpz piga namba i...tuma msg i kwenda....PUMBAFU SANA.

  meneja wao achek fresh i sio approach nzuri ya kukip customer bali KUWADHADHALISHA....amken tigo paka nyie...na nikipokea tena mamesej yenu ya kishenz shenzi nakwambien tutasimama KISUTU kwakosa la kuharibu system ya nokia kitoch changu..
   
 3. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  kwa walichonifanyia tigo ndani ya siku 4hizi,nimeamu kuhama huo mtandao-kuna mtu alinitumia pesa via tigopesa,kwanza jinsi ya kuitoa ikawa mbinde-mtandao unasumbua zaidi ya siku 3,piga 0173800800 simu haipokelewi na wanakata sh.hamsini kwa kitendo cha kupiga tu,pasipo majibu,pesa hadi leo inahang siju wapi-maana mtandao ulipatikana nikaamua kuituma kwa mtu mwingine nikahisi line yangu ndo yenye matatizo,cha ajabu walinipa sms kuwa salio limehama vyema,na kweli nikichek line haina hio hela tena,cha ajabu the other line hakuna pesa iliyofika.
  kama mtu unataka hela kwa haraka,tigopesa si ya kutumia
   
 4. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2011
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,570
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Afadhali umetusaidia kuongea ...pia kwa sasa toka mwezi uliopita naomba chunguzeni gharama zao tena kwa mwanzo ulikuwa ni mtandao ambao uko cheap but kwa sasa! du! sio ile tigo tena naona imepanuka zaidi... inabugia balaaa....
   
 5. R

  Retreat JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 211
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Yaani sasa hivi na mimi nimetoka kumtumia mtu salio kwa njia ya Tigo Pesa, ujumbe nimepata eti "Hamisho la fedha kwenda kwa .............. limekamilika 071..............: Kiasi Tsh ..........;Ada Tsh...... Salio la akaunti yako ni ........Kumbukumbu n0.PP121..........." Wakati niliyemtumia hajapata kitu, sasa sijui hizi fedha zinaenda wapi?
   
 6. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  ukituma mfano voda to tigo-salio huwa haliingii kwenye account moja kwa moja-kuna sms ambayo uliemtumia akiipata akifika kwa wakala wanaweza kuliconvert lionekane kwenye salio lake la mpesa as normal-ila mimi sijui walifanyaje-walinisumbua sana
   
 7. S

  Sting007 JF-Expert Member

  #7
  Nov 2, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 275
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  tiGO sasa Ovyo hamfai mlitupa huduma bora hapo mwanzo na kuupenda mtandao, lakini sasa ni ovyo gharama zenu zipo juu ukilinganisha na mitandao mingine.
   
 8. m

  mama kokuu Senior Member

  #8
  Apr 12, 2013
  Joined: Oct 11, 2012
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jaman kama kuna mtu anaifahamu namba nyingne ya haraka tusaidiane maana ss imekuwa kero kubwa sn na hawa tgo
   
 9. d

  deny b New Member

  #9
  Apr 13, 2013
  Joined: Apr 13, 2013
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tigo hawatujali wateja wao wana cho jali ni sales tu
   
Loading...