Search results

  1. Spitzkoppe

    Captain Geogre Bantu kurithi usukani kuliongoza jahazi bila Captain Mkuu Gardner G. Habash

    Kipindi cha nyuma nadhani 2011/12 Jahazini kulikuwa na Kayanda, Kibonde na Wasiwasi mwabulambo, ilikuwa combo moja nzuri sana
  2. Spitzkoppe

    FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

    Mzize ni mzigo, ni kama gunia la viazi
  3. Spitzkoppe

    Tuambie Mechi yako Bora zaidi ya soka ambayo umewahi kuishuhudia

    Usilku wa ulaya Mei 21, 2008 pale Luzhniki stadium, Moscow Fainali UCL Man utd v Chelsea Dk 26 Cr7 anaiandikia utd bao la kuongoza Dk 45 Lampard anasawazisha Ngoma inaisha 1-1 Game inaenda matuta CR7 anakosa penalty, matumaini kwa united kubeba ndoo yanakwisha, Mpira na maajabu yake...
  4. Spitzkoppe

    Mtoto atolewa Shanga kwenye Mapafu bila upasuaji Muhimbili Hospitali

    Imethibitishwa kiasi cha Tsh.7000 kimewekwa katika akaunti namba 07******27
  5. Spitzkoppe

    Mashabiki wa Sauti Sol tukutane hapa

    Suzana Nakuona Paris Hapo kando ya champs-élysées Ukitesa na kamini yeah, ye-yeah, yeah, yeah None of my business And I see you in London Silicon on your bum bum Shaking what your doctor gave you On your worst behavior, Suzanna bhane Senje halo, halo, halo (halo, halo, halo) If you get to...
  6. Spitzkoppe

    Application gani nzuri kuliko VIDEODER

    Vidmate iko poa pia
  7. Spitzkoppe

    Rais Samia: Serikali haijafunga mipaka kuuza mazao nje ya Nchi

    Kilimo cha Whatsapp kipigwe vita Ni hayo tu
  8. Spitzkoppe

    Umewahi kufika mikoa mingapi Tanzania na ipi uliipenda zaidi?

    Kabisa, baridi kaliii + safu za milima iliyofunikwa na Pine trees + Kibena tea Plantations pamenivutia
  9. Spitzkoppe

    Umewahi kufika mikoa mingapi Tanzania na ipi uliipenda zaidi?

    Arusha Kilimanjaro Da es Salaam Dodoma Morogoro Iringa Mbeya Njombe Kumbukumbu za Njombe zimegoma kabisa kufutika kichwani, nilipenda mandhari ya Njombe, miaka 6 sasa imepita tangu nitoke huko Aisee nikipata muda, njombe nitapatembelea
  10. Spitzkoppe

    Club Anthem zenye hisia kali zinapoimbwa Duniani

    1.Swansea city _ Take me to the vetch field 🔥🔥🔥🔥 2. Glory glory Man utd ( Mimi sio shabiki wa Man utd, lakini hii anthem yao inabamba)
  11. Spitzkoppe

    Fangasi kwenye Korodani

    Tumia Fluconazole, maliza dozi yote
  12. Spitzkoppe

    Je, Mungu anapokupa jaribu anakuacha upambane nalo au anakuletea na usaidizi wake? Mjamzito anataka msaada wangu, hatujawahi kuwa na mahusiano

    Mwanzo 22:1 Baada ya muda fulani, Mungu alimjaribu Abrahamu. Mungu alimwita, “Abrahamu!” Naye akaitika, “Naam nasikiliza.” Mungu akamwambia, “Mchukue mwanao, Isaka, mwanao wa pekee umpendaye, uende mpaka nchi ya Moria, ukamtoe sadaka ya kuteketezwa juu ya mlima mmojawapo
  13. Spitzkoppe

    Unatumia Infinix? Kuna maujanja yako hapa

    Baada ya hapo simu inapandisha joto kama vile inaendeshwa na makaa ya mawe Hayo ndo mambo ya infinix
  14. Spitzkoppe

    Ukitaka Kufanikiwa kwenye haya maisha achana na matumizi ya Smartphone

    Ni vile unavyotumia wewe, kama umeamua kujiunga magroup ya kina mtamu telegram, lazima ikupotezee muda
  15. Spitzkoppe

    Wanawake wenzangu naombeni ushauri: Umewahi kukutana na kulifanya jambo hili?

    Ghafla nimekumbuka wimbo wa "Garth Brooks -That summer"
Back
Top Bottom