Search results

  1. yungsteval

    Hizi kazi za clinica tracker chato ziliishia wapi?

    Habari wakuu eti Wenye kufahamu huu mchongo ulipoishia au waliajiri kimya kimys? Kumb. Na. CDC/05/20/89 Halmashauri ya wilaya ya Chato kupitia shirika la MDH Inawatangazia nafasi za kazi ya mkataba kwa watumishi wapatao 10 ambao watafanya kazi ya Clinical Trackers. Mkurugenzi Mtendaji wa...
  2. yungsteval

    Car4Sale Vitz inauzwa-Mwanza

    Mileage 130000 Cc 1290 Old model 2004 Vibali vyote vimelipiwa... Gari iko katika hali nzuri. Kwa mawasiliano piga/whats app 0763434194 Bei ni 5,200,000/=
  3. yungsteval

    Good Neighbor Tanzania

    habari jf.....kuna link iliwekwa hapa ya ajira nikakuta post za hili shirika linaitwa good neighbors....hivyo nimeitwa interview wiki ijayo.....mwenye kulijua shirika hili vizuri.....interview zao zikoje....wat abt package zao kwa mwezi na mazingira ya kazi yako vip asante
  4. yungsteval

    Sony XPeria Z1 original ni bei gani dukani?

    Habari JF, Nilikuwa naomba kujuzwa hiyo simu tajwa hapo juu bei ya dukani kwa sasa ni sh ngapi? Asante..
  5. yungsteval

    Sony xperia z1

    habari wakuu.....nilikuwa naomba kujuzwa simu tajwa hapo juu dukani ni sh ngapi....msaada tafadhali asante
  6. yungsteval

    Wenje anafanya mkutano Nyamagana

    Niko Mwanza hapa huyu jamaa kafunga barabara as if Obama ndo amekuja Mwanza, yuko viwanja vya Mbugani sasa watu wamefurika hatari. Najua wapo walio Mwanza wataleta picha na nini alikizungumza coz mimi nilikuwa napita tu na mishe zangu.
  7. yungsteval

    Wanahitajika watu 6 kwa nafasi ya clearing & forwading

    Habari...tunahitaji vijana tajwa hapo juu SIFA: DIPLOMA AU DEGREE ya clearing and forwading EXPERIENCE:1-2 YRS Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba xxxxxxx asanteni watu wameshapatikana...wasipomeet vigezo nitawataarifu tena
  8. yungsteval

    Natafuta dalali Mwanza

    Habari JamiiForums Natafuta dalali atakayeweza nitafutia chumba iwe master bedroom au chumba na sebule(self)...iwe ndani ya wilaya ya Nyamagana/Ilemela. Namba yangu ni 0763434194
  9. yungsteval

    Natafuta dalali wa vyumba Mwanza

    Habari JamiiForums, Natafuta dalali atakayeweza nitafutia chumba iwe master bedroom au chumba na sebule(self). Iwe ndani ya wilaya ya Nyamagana/ilemela Namba yangu ni 0763434194
  10. yungsteval

    Kwa anayehitaji kamba na magunia yanayotokana na mkonge pitia hapa

    habari JF..... Tunauza kamba za mkonge zinazozalishwa na METL morogoro pamoja na magunia maalumu kwa ajili ya kupakia kahawa. Kama ya mkonge mita 100 piece 10 kwa sh 15000 mita 200: piece 10 kwa sh 30000 na mita 1000 piece 2 kwa sh 30000 Gunia moja la nchi 41.5 kwa sh 3800 kila moja...
  11. yungsteval

    Kamba za Mkonge kwa watu wa Kanda ya Ziwa

    Habari JF, Tunauza kamba za mkonge zinazozalishwa na METL morogoro pamoja na magunia maalumu kwa ajili ya kupakia kahawa; Kamba ya Mkonge mita 100: Piece 10 kwa sh. 15000 mita 200: Piece 10 kwa sh. 30000 na mita 1000: Piece 2 kwa sh. 30000 Gunia moja la nchi 41.5 kwa sh. 3800 kila moja Piga...
  12. yungsteval

    Nauza simu ni Godwin M7 na Samsang NOTE 3 bei nafuu kabisa

    Habari Jamii Forums.nauza simu tajwa hapo juu kwa bei nafuu kabisa: GOWIN M7=150000 na imetumika kwa mda wa mwezi mmoja tu.SAMSUNG NOTE3=220000 imetumika kwa muda wa wiki moja tu. Kwa mawasiliano zaidi piga. simu ifuatayo; 0655612122
  13. yungsteval

    Nauza simu ni Godiwin M7 Nna Samsung note 3 bei nafuu kabisa

    Habari Jamii Forums nauza simu tajwa hapo juu kwa bei nafuu kabisa,GOWIN M7=150000 na imetumika kwa mda wa mwezimmoja tu.SAMSUNG NOTE3=220000 imetumika kwa mda wa wiki moja tu. Kwa mawasiliano zaidi piga simu ifuatayo; 0655612122
  14. yungsteval

    Nauza simu: Ni Gowin M7 na Samsung Note 3 bei nafuu kabisa

    habari JF....nauza simu tajwa hapo juu kwa bei nafuu kabisa: GOWIN M7=150000 na imetumika kwa mda wa mwezi mmoja tu. SAMSUNG NOTE3=220000 imetumika kwa mda wa wiki moja tu. Kwa mawasiliano zaidi piga simu ifuatayo; 0655612122
  15. yungsteval

    Nimepata kazi kupitia jukwaa hili

    habari zenu wapendwa....mwaka jana mwezi wa 11 kwenye tar 28 lilitoka tangazo la zonal sales officer ambalo watu wengi inaonekana walilipuuzia...mimi nilimtafuta huyo mtoa post then akanipa email nitume cv yangu..nikaitwa interview na ilikuwa mkoani waligharamia nauli yangu ya kwenda huko na...
  16. yungsteval

    Mwalimu wa hesabu anahitajika

    Nimecopy na kupaste jaman..kazi kwako Company > Gili Secondary School Location > Kibaha Position Type > Full Time Organization Type > Company Position Description A FULL TIME MATHEMATICS TEACHER TO BE ABLE TO WORK AT KIBAHA DISTRICT. Application Instructions. Contact us +255 (0)...
  17. yungsteval

    Kama uliomba kazi Halmashauri ya Meatu-Simiyu hiki ndicho kilichotokea

    Habari ndugu...mnamo mwaka jana mwezi wa kumi niliapply kazi za halmashauri ya wilaya ya meatu...kilichotokea nimepigiwa simu na mtu anayejiita afisa utumishi na akanifanyia usaili wa awali kupitia simu...baada ya mda akanipigia na kusema nipo kwenye long list wako kwenye mchakato wa kuchuja na...
  18. yungsteval

    Wanahitajika madereva wa boda boda

    Apply Before: 29 Jan 2015 Company > Baker & Sons Safari Ltd Location > Dar Es Salaam Position Type > Full Time Organization Type > Company Position Description We are looking for 15 licensed drivers to operate our boda boda business based in Dar es salaam. The mode of business is...
  19. yungsteval

    NGO ya Médecins du Monde iko wapi hapa Dar?

    habari ndugu, Hii NGO tajwa hapo juu iko maeneo gani hapa Dar es salaam? Je kama unatokea Kawe unapanda magari gani ili uweze kufika? Maana nimeitwa kwenye interview Jumatano. Asanteni
  20. yungsteval

    NGO ya MEDUCINE DU MONDE iko wapi hapa Dar?

    habari ndg...hii NGO ya MDM tajwa hapo juu iko maeneo gani hapa dar....je kama unatokea kawe unapanda magari gani ili uweze kufika?....maana nimeitwa kwenye interview J5
Back
Top Bottom