Search results

  1. jangala

    Wapi mnapata pesa za kujenga wandugu? Mbona kwangu naona chenga tu?

    Ulianza vzuri ila sasa unataka kuwa mtunzi wa Riwaya...dialogue za nn...ushalewa
  2. jangala

    Shule za English Medium ni kiwanda cha kuongeza Depression kwa wazazi na watoto. Serikali iboreshe shule za umma

    Ada ya mtoto wa Darasa la 3 ni kubwa kuliko ada ya mtu anayesoma chuo IFM [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mimi wanangu watasoma kama nilivyosoma... tukutane sekondari ova
  3. jangala

    Vijana utajiri upo kwenye kilimo, tokeni mjini huko aisee!

    Chief God love unatufanya sie wajinga?
  4. jangala

    Mtu akifa anaenda wapi?

    Swali langu ni kuwa: Mbuzi akifa anaenda wapi?
  5. jangala

    Kwanini wanajeshi wanapenda sana kukopa vitu ovyo?

    Aisee mi sijui niseme nn kuhusu hawa jamaa... binafsi sehemu kubwa ya maendeleo yangu nimeyapata kupitia hawa watu...nilianza kwa kumjengea mwanajeshi mmoja mwaka 2013..nikafanya kazi kwa uaminifu mkubwa sana maana jamaa alikuwa ananipa pesa ya material halafu anasepa...anakaa siku mbili au tatu...
  6. jangala

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nimeamka asubuhi na bahati kidogo...walau basketball inafutaga machozi ukituliza akili..
  7. jangala

    Chuo Kikuu Huria (Open University of Tanzania)

    Naomba kujua mahali kilipo chuo kikuu huria kwa Dar es Salaam
  8. jangala

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu naweza kupata huo mkeka niunge cheni?
  9. jangala

    Chuo Kikuu Huria (Open University of Tanzania)

    Ndugu naomba unisaidie kunifahamisha kama out Wana program za kutoa certificate kwa watu tulioshia form 4
  10. jangala

    Chuo Kikuu Huria (Open University of Tanzania)

    Wakuu mimi ni form 4 .... naomba kuuliza,je naweza kupata nafasi ya kuanza certificate hapo OUT? Na je wanatoa Faculty zipi (kama nitapewa listi nitashukuru sana)
  11. jangala

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu msaada namna ya kuwithdraw pesa premier bet...naona sipewi option ya kuchagua namna ya kutoa pesa
  12. jangala

    Anayejua aina nzuri ya perfume

    Wapi naweza pata blue channel kwa hapa Dar?
  13. jangala

    Soma kwa makini unipe ushauri kwa hili

    Nafuatilia comments
  14. jangala

    Mke wa mjomba ananishawishi nifanye naye mapenzi

    Zindiko Sent using Jamii Forums mobile app
  15. jangala

    Unatumia mbinu gani kudai watu unaowada? Nafikiria kutokopesha watu ovyo ovyo ila roho inanisuta

    Ili usipoteze wateja usikopeshe.. Sent using Jamii Forums mobile app
  16. jangala

    Maisha ya Mtumishi wa Serikali ni Magumu mno. Mungu aingilie kati

    Kwahyo hapo ukilipwa hyo hela hakuna hela nyingine unayopokea kutoka serikalini? Posho labda? Sent using Jamii Forums mobile app
  17. jangala

    Je, vilainishi gani ni sahihi wakati wa ngono?

    Harooo mama koku inama nikurenge.... Badilika bro Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom