Search results

  1. mwenemti

    2007 Rav 4

    agiza zije kuozea bandarin kwa ushuru....
  2. mwenemti

    Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

    hapo hakuna cha sero wala wapi,wakifika kituoni anaomba simu yake anapijiwa bosi baadae askari anaomba msamaha mwenyewe....
  3. mwenemti

    Hivi hili ni kweli kuhusu UKIMWI?

    vijana toka facebook...
  4. mwenemti

    Ushauri kuhusu Subaru Forestar

    nadhani mashindano ya magari ya dakar yanakabia kuanza so anataka kujiunga kwenye mashindano aoneshe kipaji chake chengine,na sio kupija hela tu kunako serikali....
  5. mwenemti

    Gari zinauzwa

    hatutaki maneno weka picha...
  6. mwenemti

    Mimi na yeye

    aaaaaaah mambo yangu haya..
  7. mwenemti

    Mvua ikinyesha trafiki wanakimbia

    daa mimi napita pande hizo now sijui nitawakuta...!? hicho ni kindegeleko tunaoelewa wachache ha ha ha ha haaaaa...
  8. mwenemti

    Mbu wa Muhimbili Hospital ni waajabu sana...

    mimi nimekuelewa hata kama tunaharibu lugha,mwisho wa siku kama wewe nawe unahusika na muhimbili fanyeni mpango muue hao mbu mnatia aibu... amkawi kuleta propaganda nyingine ya dengue.....!?
  9. mwenemti

    Hii picha ya Shilole ni shidaaa kama Rihhana

    mimi namuonaga mshamba wa maisha tu na kujisemea mwenzangu zile stage alizoruka ndio anamalizia angalau ishakuwa jioni......!? kutoka msichana mpaka mama.
  10. mwenemti

    Mabasi ya Dar - Mwanza ni hatari!

    ha ha ha haaa scren touch bwana kweli majanga...
  11. mwenemti

    Mchoro wa fly over ya Tazara itakavyokuwa

    bado naivutia picha tu hiyo fly over itakuaje na kijinafasi kile...!? kama ninavyosubilia kuona hayo mabasi yaendayo kasi kama yatasababisha kupungua kwa foleni,maana sasa hivi daladala zetu za zamani hazina vituo zinasimama barabaran..
  12. mwenemti

    Namba ya Simu Unayopiga Imefungiwa

    aaaaaaah nilipijiaga mchepuko nikasikia hivyo, kumbeeeeeeee...!?
  13. mwenemti

    Kituko cha mwaka 90

    dar stamiba hapa,hakuba ushamba...
  14. mwenemti

    Picha ya mtoto aliyekuwa kafichwa uvunguni na mama yake mzazi

    mmmmmh hata mimi sijaelewa.!? yani kulala uvunguni ndio kumsababishe kukonda hivyo au....!?
  15. mwenemti

    Vituo vya trafic Police Arusha ni kero

    kama huko unaona kelo sasa ukija dar si utakuwa hauendeleshi hata gari lenyewe,maana hiyo ndani ya kilometa 10 napo kuna vibanda kumi......huku vyeti tu hakuna kukaguana.
  16. mwenemti

    World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

    team germany machine...
  17. mwenemti

    Chumba na sebule for rent Kimara kituoni kabisa

    kwanza nilisahau ulisema kimara hipi vile.......!?@kijanakijana.
  18. mwenemti

    Chumba na sebule for rent Kimara kituoni kabisa

    da umeme 30000 X 12=360,000 kodi per year 150000 X 12=1,800,000 -jumla 2,160,000. nilikuwa na mipango yakuamia huko mwaka huu,ila naona niamie pande za tabata tu.
  19. mwenemti

    Khanga za uswazi

    mmmmh haya....
  20. mwenemti

    World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

    bora wabebe hawahawa wajerumani...
Back
Top Bottom