Search results

  1. I

    Maombi ya kujiunga na Vyuo vya Afya mwaka 2015/2016

    jamani mm Nina D ya phy,chem,bio,math eng Nina c na mengine Nina A na B nataka clinical officer je napata
  2. I

    Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    Jamani msaada please Nina D ya pys ,chem ,bio na math English Nina C zingine Nina A na B je naweza kusoma clinical officer msaada plz.
  3. I

    TANZIA: George Tyson Afariki - Msiba mwingine Tasnia ya Filamu

    Aaaah aisee ishakua noma sana i worry to be a star couse if they die like a chiken how can be to me when i will be? R.I.P mbaba wa monalisa aka baba sonia.
  4. I

    Natafuta Kazi ya ufundi umeme

    Jamani maisha bila kazi ni noma natafuta kazi ya kufanya mimi proffesinal yangu ni maswala ya Umeme naweza funga umeme na pili naweza tumia computer fresh sana kama ni microsoft zote nazijua adobe page maker na mambo mengine mengi kama kuna kazi ata hapo mtaani kwenu nishtue basi kwa sasa...
  5. I

    Nina mpenzi dini tofauti

    Nina mpenzi wangu ninampenda sana naye ananipenda sana infact tunapendana ila sasa mimi baba yangu ni mchungaji yeye kwao mama na baba yake ni waislamu tena swala tano msichana huyo ananipenda sana na anaitaji kuishi na mimi muda wowote nitakaotaka na pia mimi nampenda ni mwanamke mstaarabu na...
  6. I

    Utata wa Kifo Cha Hayati Sokoine

    Tehe tehe ocha mambo ya siasa utakufa mapema ero.
  7. I

    Bunge lavunjwa

    Bora bunge livunjwe maanake awa mafala wanakula hela zetu bure tt.
  8. I

    SCOAN TANZANIA (Prophet TB Joshua)

    Daaa hahahahahahahahaha ìyo ni noma sana.
  9. I

    Kujamba (kutoa ushuzi) kuna faida kiafya?

    Ila kujamba mbele za watu noma sana aisee ila kuna jamaa kanichekesha kavaa ear phone kajamba kwa nguvu mbele za watu akifikiri eti hawasikii.
  10. I

    Je nitapataje mpenzi wa kweli

    Natafuta mama sukari aka sugar mamy wakunilea napenda sana mama kubwa na sijui nitapataga if kuna anayetaka kijana aniambie kwa email hii igkboy@hotmail.com
Back
Top Bottom