Search results

  1. M

    Ufafanuzi na Mchanganuo Kuhusu Biashara ya Vipodozi na Urembo

    Habari za leo ndugu zangu! Nina imani mko salama kwa upendo wa Allah. Ninaomba msaada wa kujua biashara ya vipodozi inalipa endapo nitaifanya kwa rejareja??? Vipodozi vinapatikana wapi na kwa bei gani kwa jumla kulingana na aina na ujazo wake. Nini changamoto kuhusu biashara ya vipodozi, pia...
  2. M

    Msaada kuhusu Toyota Coaster

    Wakuu ninataka kuchukua hata used kibongo bongo je kwa experience zenu naweza kupata kwa bei gani iliyosimama vizuri?
  3. M

    Life Begins at 40, How Old Are You Friend?

    Hahahhahahhhh mkuu unajua kupaka
  4. M

    Msaada kuhusu Toyota Coaster

    Habari zetu wana jamvi...naomba kujua bei ya Toyota Coaster hapa dar kwenye show room. Pia endapo nitakuwa na pesa pungufu ya kununulia inawezekana kupewa gari halafu ukalipa kidogo kidogo hadi deni litakapoisha? Mwisho napenda kujua ni wapi naweza kupata coaster kwa njia ya kulipa nusu ya hela...
  5. M

    Natafuta kiwanja

    Njoo kimara suka maeneo ya golani 1.3km from morogoro road. kina ukubwa wa hatua 25x40 na kina msingi full wa nyumba bei 15m maelewano yapo kidogo 0714783571
  6. M

    Tanzania Yapoteza Askari Wake Watatu DRC CONGO

    Kituo cha television cha ITV kimetangaza kuwa askari watatu wa JWTZ wamefariki dunia huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) juzi kufuatia ajali mbaya ya gari
  7. M

    Tanzania Yapoteza Askari Wake Watatu DRC CONGO

    Kituo cha television cha ITV kimetangaza kuwa askari watatu dunia huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) juzi kufuatia ajali mbaya ya gari
  8. M

    Nachingwea kuna nini?

    Kuna taarifa kwamba kuna mauaji ya kutisha huko Nachingwea hadi kusababisha wanawake kuandamana kwenda kwa mkuu wa wilaya. Mwenye taarifa zaidi atuambie vizuri.
  9. M

    Fursa: FastJet kuanza safari Dar - Harare

    Mleta Mada naomba kujua gharama toka KIA hadi JNIA ni bei gani??
  10. M

    Mada: Fahamu mambo mbalimbali kuhusu gari aina ya Subaru Forester

    Asante sana mkuu nimeridhika na mawazo yako hadi sasa sina woga tena wa kummiliki huyo mfalme wa maspeed kwa road
  11. M

    Mada: Fahamu mambo mbalimbali kuhusu gari aina ya Subaru Forester

    Nimekubali kaka na ninaipenda zaidi hyo hapo uliyoitupia kwa picha
  12. M

    Mada: Fahamu mambo mbalimbali kuhusu gari aina ya Subaru Forester

    Habari zenu wana JF. Nina dream za kununua gari aina ya Subaru Forester nimetokea kuipenda sana gari hii. Msaada wa ushauri toka kwenu ni kwamba nahitaji kujua gari inatumia Lita 1/how many Kms, spare parts zinapatikana kiurahisi, Nini umadhubuti wake, ni vipuri gani huwa vinasumbua mara kwa...
  13. M

    Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

    By Robert Greene, eg. Law 9 says WIN TROUGH YOUR ACTIONS,NEVER THROUGH ARGUMENT...Tena mwandishi anaongeza kwa kusema INFECTION: AVOID THE UNHAPPPY AND UNLUCKY. YAH kwa pande yangu THE 48 LAWS OF POWER is the one
  14. M

    Ndege ya Rais (5H-One) G550 nayo itafanya mbwembe miaka 50 ya muungano

    Kweli kabisa na kesho kutakuwa na maonyesho ya aina yake tutashuhudia makomando wetu wakiruka kwenye ndege za jeshi umbali wa zaidi ya mita 1500 angani na watatua shamba la bibi kwa kutumia parachuti...usikose itakuwa ya ukweli kuliko zote ambazo umewahi kuziona TZ
  15. M

    Nini madhara ya mashine.hii?

    Habari zenu wadau..naomba kujua ni nn madhara ambayo anaweza kupata mtu ambae anakaa karibu kwa muda mrefu kila siku kwenye zile mashine za kutambua vitu vya chuma mfano zile zilizopo airport. Na kama kuna madhara ni yapi? Je kama ndio kazi yako mjini hapa nn ambacho unaweza kumshauri mtu kama huyo?
  16. M

    Msaada kuhusu miti ya mbao

    Habari zenu wakuu...Naomba kupata msaada na ushauri kuhusu miti ya mbao kama inaweza kukua vizuri bila tatizo kwa mikoa ya Pwani na Dsm. Ninauliza.hivyo kwasbb udongo wa mikoa ya pwani si sawa na ule wa Mafinga-Iringa ambako miti ya mbao inashamiri na kutoa mazao bora. Naomba msaada wataalam wa...
  17. M

    Naweza kujenga nyumba ya kisasa kwa mil 20?

    Me nakushauri kuanza ujenzi soon na nina iman kwamba utafika mbali sana hata kama hutafanya finshing no matter
Back
Top Bottom