Search results

  1. M

    CHADEMA ya Mbowe na Mashinji imepotea?

    Kila kukicha Chadema kinapukutika, Kila kukicha Chadema inadorola, Kila kukicha viongozi mahakamani kwa uhalifu wa kijinai, Kila kukicha Chadema inapoteza mvuto kwa jamii Je hali hii inaashiria nini kwa Chadema kuelekea 2020 ??
  2. M

    Chadema Kuzikwa Rasmi 2020 ??

    Upo uwezekano wa Chadema kukosa kabisa Wenye viti wa mitaa kufuatia uchaguzi ujao. Upo uwezekano Mkubwa Chadema kukosa Madiwani na Wabunge kwenye uchaguzi Mkuu 2020 kutokana na kuchukiwa na Wananchi kwa %kubwa. Upo uwezekano ACT-Wazalendo kuchukua nafasi ya Kambi Rasmi ya Upinzani na Cuf...
  3. M

    Is Chadema dying instantly before 2020 ?

    Each day no any issue hot is being tabled by Chadema leaders. No single event brought by Chadema members that causes scandal to the system.
  4. M

    Matarajio ya CHADEMA yanazidi kufifia?

    1. CHADEMA ilitegemea kuungwa mkono na Nape, January, Ngereja. 2. CHADEMA ilitegemea kupata ujiko kwa kushinda kesi ya Lisu. 3. CHADEMA ilitegemea Ujio wa Lissu kutumika kama kiki ya kurejesha uhai wa chama. Je Uhai wa Chadema uko hatarini ??
  5. M

    Tushikamane kwa Maombi juu Vifo Morogoro

    Ndg Watanzania wenzangu nawaomba chonde chonde tushikamane kwa maombi dhi ya majeruhi,wafiwa na wote wanaoguswa. Anen
  6. M

    Tanzania kwenye awamu ya 5 inapaa kimaendeleo

    Nidhahili ukiiangalia miradi na utekelezaji na usimamizi wa mambo mbalimbali utakubaliana na mimi. Shime Watz tuipende Tz na kuisifu awamu ya 5
  7. M

    Hivi CHADEMA ndiyo Mwisho Wa Kuunda Kambi Rasmi ya Upinzani?

    Chadema imehamwa na Wabunge kibao Chadema imehamwa na Madiwani kibao Chadema imehamwa na Viongozi wake kibao Chadema imepoteza mvuto kwa Watanzania kwa 98% Chadema imevurugika kiutawala kwa 87% Chadema imebaki na Washabiki 99% wenye Utaalamu Wa kutukana matusi mitandaoni. Chadema imebaki na...
  8. M

    Je, ni halali Mbowe kukifanyia hivi chama anachokiongoza?

    Mbowe alikikopa Chama Chake Mamilioni ya fedha na kununua gari la kifahari na anasa. Akalitumia kutaka upya wake likiwa na Km 00 hadi likafisha Km 200,000 halafu akadai eti ameshindwa kulipa mkopo na kulirudisha kwenye Chama tena baada ya CAG kukiumbua Chama. Je, huu ni mwenendo mzuri kwa...
  9. M

    Ukiona Mtu anashabikia Ubabe Wa CAG

    Mtu huyo Lazima atakuwa na tabia za Kichadema, Tabia za kutaka Taifa liharibikiwe tu, kutaka Serikali iliyoko madarakani iharibikiwe, kutaka CCM iharibikiwe, Mijitu hii ni Rahisi mno kuijua. Kwa kupitia comments mitandaoni
  10. M

    Nini Faida ya kuzunguka Duniani kuchafua Taswira ya nchi yako??

    Nimekuwa nikifuatilia kila anakopita My. Tundu Antipas Lisu, ninachokiona ni yeye kutukana viongozi na Serikali iliyoko madarakani, kukashifu kila kitu, Kubeza kila kitu. Wakati mwingine ninapofikiria kwa kina huwa napata majibu mawili tu;- 1. Laana aliyoipata baada ya kumtukana Baba wa Taifa...
  11. M

    Kwanini upinzani unapinga Muswada wa Vyama vya Siasa

    Hivi vyama vya siasa hususan ACT Wazalendo na CHADEMA hofu yao ni Nini? Kwani Muswada unalenga wao tu? Je, CCM siyo Chama Cha Siasa? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    Hivi Chadema huwa hawana hoja?

    Mala Kikokotoo, mara CAG, Mala risasi 38, Mala Demokrasia imeminywa, Mala wabunge wamenunuliwa, mala operation sangara, mala M4c , yaani ni ujinga ujinga tupu. Lini Chadema wataongea hoja zenye tija? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. M

    Je Kiki ya Fao la Wastaafu itawavusha Chadema ??

    Ni ukweli usiopingika kwamba, kanuni ya 1/580 inawaumiza sana sana Wastaafu, tena utaratibu wa kutaka walipwe 25% ya mafao yao ni kuwadhalilisha, kwani siyo kweli kwamba eti wakipewa zote huzitumia vibaya, hawa ni watu wazima na wameendesha yao bila kusimamiwa kwa miaka 60, Wametumia pesa kwa...
  14. M

    Kutoheshimu Utawala wa Sheria ni kuvunja Demokrasia ?

    Mbowe na wenzake hujinadi kila kukicha kwamba Wanaheshimu Demokrasia, sasa Je Mbowe na wenzake kukwepa Mahakama kwa visingizio vya kuumwa na kuwa safari za nje ni uminyaji wa Demokrasia ? Je Mbowe ni chanzo cha uvunjaji wa Demokrasia? Je Mbowe ni Sultani? Je Mbowe ni Konyi? Je Mbowe ni Savimbi ...
  15. M

    CCM imeongeza Wanachama kwa 91%, kutoka 2015-2018 Nov.

    CCM imatia fora kwa kuongeza Wana Chama kwa 91 % kutoka 71% za awali. Chadema imepoteza wanachama kwa 58% kutoka 85% wa awali. Je nini tafasiri ya hali hii??
  16. M

    Kifo cha Chadema kimewadia

    Musiba amebainisha wazi kwamba viongozi wa Chadema siyo Wazalendo. Kila kukicha wao ni kuifitisha nchi na mataifa ya nje, hususan ni serikali ya awamu ya Tano, ili ionekane inafanya makosa kiuchumi, kisiasa, kimaendeleo, kimahusiano na mataifa, na hali hii ipelekee Taifa kunyimwa misaada au...
  17. M

    Okoa Majimbo yote yaliyoko Upinzani 2019/20

    Naufurahia sana mkakati wa kuufuta upinzani uchwara katika anga za siasa ifikapo 2019/20 hapa Tanzania, kwani unatupotezea muda na kutukwamisha kufikia maendeleo ya kweli.
  18. M

    Rc Makonda ni Mbunifu hodari kupita kiasi

    1. Alibuni jinsi ya kupambana na Wenyeviti wa mitaa waliokuwa wakishirikiana na madalali hewa kuuza nyumba na viwanja vya Wananchi na kuwadhulumu 2. Alibuni njia ya kukomesha uhalifu wa panya road, wizi wa vipuri vya Magari, n.k 3.Alibuni njia ya kukomesha au kupunguza Watoto wa mitaani na...
  19. M

    Ni aibu mweye akili timamu kulaumu viongozi wa awamu ya 5

    Ukimuona mtu analau sana kiongozi wa awamu hii tambua alizoea kupiga dili. Ukimuona mtu analaumu awamu hii tambua ni Fisadi Ukimuona mtu analaumu awamu ya tano tambua anatumika na mabepari
  20. M

    Hivi Mkesha wa Mwenge una Faida gani?

    Ukimuona mtu anasema flani ni mchawi huwa anawanga usiku , jiulize yeye usiku huo alikuwa wapi hadi akamuona huyo mchawi? Umalaya, ubakaji n.k. huyu ameyajuaje bila kuyashiriki??? Yamkini huyu ni mmoja wao, hongera kwa kujipambanua kuwa ndiye
Back
Top Bottom