Is Chadema dying instantly before 2020 ?

Makusudically

JF-Expert Member
Feb 3, 2014
2,201
1,232
Each day no any issue hot is being tabled by Chadema leaders.
No single event brought by Chadema members that causes scandal to the system.
 
Vigogo wote wa chadema wako kisutu.wanahangaika kujinasua.kwa sasa hakuna kueneza chama tena. Na mwenendo unavyokwenda kuna uwezekano Mkuu wakachezea mvua za kutosha.rai yangu chadema wawe Na plan b, kuanzia sasa wale wasio Na kesi waanze kufanya majukumu yaliyopaswa kufanywa Na viongozi wao wa kitaifa. Nje ya hapo Ni shida...
 
Mkuu, wazo lako lingeweza kuwa na mantiki endapo tu CDM na vyama vingine vya ushindani wa kisiasa vingeweza kuendesha shughuli zao kwa mujibu wa katiba ya nchi, na hata kwa kuzingaitia sheria nyingine zenye kutambua na kusimamia uwepo na hata uhuru wa kuendesha shughuli zao. La sivyo kwa mazingira ya sasa ni kufanya shughuli halali za kisiasa ni sawa na kwenda kuuza mirungi kituo cha polisi
 
Back
Top Bottom