Kutoheshimu Utawala wa Sheria ni kuvunja Demokrasia ?

Makusudically

JF-Expert Member
Feb 3, 2014
2,201
1,232
Mbowe na wenzake hujinadi kila kukicha kwamba Wanaheshimu Demokrasia, sasa Je Mbowe na wenzake kukwepa Mahakama kwa visingizio vya kuumwa na kuwa safari za nje ni uminyaji wa Demokrasia ? Je Mbowe ni chanzo cha uvunjaji wa Demokrasia? Je Mbowe ni Sultani? Je Mbowe ni Konyi? Je Mbowe ni Savimbi ? Je Mbowe ni Nduli Idd Amin ? Mbowe ni Bokassa ? Je Mbowe ni Kabulu ? Je Mbowe ni nani hasa hapa nchini hadi aharibu taratibu za Mahakama ??????
 
Back
Top Bottom