Je, ni halali Mbowe kukifanyia hivi chama anachokiongoza?

Makusudically

JF-Expert Member
Feb 3, 2014
2,203
1,235
Mbowe alikikopa Chama Chake Mamilioni ya fedha na kununua gari la kifahari na anasa.

Akalitumia kutaka upya wake likiwa na Km 00 hadi likafisha Km 200,000 halafu akadai eti ameshindwa kulipa mkopo na kulirudisha kwenye Chama tena baada ya CAG kukiumbua Chama.

Je, huu ni mwenendo mzuri kwa Vyama vya Upinzani?
 
Watetezi wa wanyonge kila kitu wanyonge sasa askofu kawatolea uoga labda mkamuulize uraia wake
Si mwenendo mzuri, hata askofu dr bagonza kakemea leo hawa wanaojifanya kutetea wanyonge kumbe ni mbwa mwitu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ni washenzi kabisa
Halafu hawa wanyonge wake wanakuja JF kutetea mambo ambayo yanahitaji uwendawazimu kuyatetea.Wanapata shida sana ila wanajikaza kiaina tu.Kama tungepata fursa kuonana nao usishangae kuwaona wanalia kwa kugugumia kwelikweli.
 
Hakika, kutetea mwenendo wa mbowe unahitaji akili ya kiwendawazimu.
Look at you!Na weye ni walewale mnaoitwa wanyonge?Mtaanzisha nyuzi humu hadi mvimbe macho na vidole.Mnajidai kuwa mazuri yamefanywa na serikali hii dhaifu?Mtulie tutaona wenyewe.
 
Mbowe alikikopa Chama Chake Mamilioni ya fedha na kununua gari la kifahari na anasa.

Akalitumia kutaka upya wake likiwa na Km 00 hadi likafisha Km 200,000 halafu akadai eti ameshindwa kulipa mkopo na kulirudisha kwenye Chama tena baada ya CAG kukiumbua Chama.

Je, huu ni mwenendo mzuri kwa Vyama vya Upinzani?
Picha ingependeza pia ya ilo gari
 
Mbowe alikikopa Chama Chake Mamilioni ya fedha na kununua gari la kifahari na anasa.

Akalitumia kutaka upya wake likiwa na Km 00 hadi likafisha Km 200,000 halafu akadai eti ameshindwa kulipa mkopo na kulirudisha kwenye Chama tena baada ya CAG kukiumbua Chama.

Je, huu ni mwenendo mzuri kwa Vyama vya Upinzani?
Umbea huo,dume zima,unajitekenya
 
Mbowe alikikopa Chama Chake Mamilioni ya fedha na kununua gari la kifahari na anasa.

Akalitumia kutaka upya wake likiwa na Km 00 hadi likafisha Km 200,000 halafu akadai eti ameshindwa kulipa mkopo na kulirudisha kwenye Chama tena baada ya CAG kukiumbua Chama.

Je, huu ni mwenendo mzuri kwa Vyama vya Upinzani?
Hicho sio chama cha siasa ,ni genge la wahuni wabobezi,anaemsapoti huyu jamaa akapimwe akili
 
Hahahaaaa
Vyama vya upinzani vilitakiwa kua na usafi ili viwe mbadala lakini cha kushangaza ndo mafiiisi mafisi
 
Mbowe alikikopa Chama Chake Mamilioni ya fedha na kununua gari la kifahari na anasa.

Akalitumia kutaka upya wake likiwa na Km 00 hadi likafisha Km 200,000 halafu akadai eti ameshindwa kulipa mkopo na kulirudisha kwenye Chama tena baada ya CAG kukiumbua Chama.

Je, huu ni mwenendo mzuri kwa Vyama vya Upinzani?
Si mwenendo mzuri kabisa hasa kwa chama kinachojitapa kinataka kushika dola!
 
Back
Top Bottom