Search results

  1. M

    Libeneke la Agenda Participation 2000 na ActionAid

    Nawashangaa Agenda Participation 2000 na ActionAid. Wanatumia pesa nyingi kufanya mikutano ya hadhara, ati, Tanzania tunayoitaka isiyokuwa na mgao wa umeme! Duh! Haya, hawataki mgao, je, wana nini mbadala cha kutuambia? Wanamlalamikia nani? Serikali? Kwani wao ni nani kama si hiyo hiyo...
  2. M

    Elections 2010 Nakaaya arudisha kadi ya CHADEMA

    Wahenga walisema, ndege wafananao huruka pamoja. Msishangae sana kuhusu Nakaaya na JK, hawa wanafanana, ingawa si kwa "daraja" moja. Nyepesi/nyeti nilizozinyaka - katika safari yangu ndefu ya UCHOKONOZI - nimenyetishwa kwamba miaka kadhaa, Nakaaya, wakati akiwa mwajiriwa (cashier/teller) wa...
  3. M

    Elections 2010 Friends of Dr.Slaa FOD kuhakikisha Slaa anaingia ikulu hatari tupu........

    Nataka kuchangia mawazo. Mimi ni political strategist, ningeweza kutoa ushauri wa jinsi ya kufanya kampeni nzuri na endelevu. Nina issues nyingi sana zinazofaa kujadiliwa. Suala la wafanyakazi na maslahi yao LISIWE ngao yetu! Kuna mengi zaidi, tena very simple issues lakini ni sensitive na very...
  4. M

    Elections 2010 JK awa kinara wa kuvunja Sheria ya Matumizi ya Uchaguzi ya mwaka 2010

    Aliposaini Sheria ya Matumizi ya Uchaguzi ya mwaka 2010, Mwenyekiti wa CCM Taifa, Jakaya Mrisho Kikwete, hakutambua kwamba sheria hiyo ingerudi na kumhukumu kwa kuwa kinara wa kuivunja. Akiwa kwenye kampeni zake alizoanzia Kanda ya Ziwa, kwenye mikoa ya Geita, Kagera na Mwanza, JK ametoa ahadi...
  5. M

    Elections 2010 Mgombea ubunge CCM anusurika kuuwawa na jambazi aliyetumwa

    Mmoja wa wagombea ubunge wa CCM aliyeshinda nafasi hiyo kwenye kura za maoni amenusurika kuuwawa na jambazi aliiyetumwa kummaliza baada ya jambazi huyo kumwambia kwamba yeye ni mtu mwema asiyestahili kufanyiwa unyama huo. Akisimulia ndugu na jamaa zake, mgombea huyo (jina limehifadhiwa) alisema...
  6. M

    The "Don" of Tanzania's Entertainment , Joseph Kussaga, strikes again

    Ile show ya mwanamuziki mahiri wa Burundi, "Kidumu", imekuwa sabotaged. Nawasiliana na waandaaji wa show hiyo leo baadaye ili niupate mkanda wote, kisha nitapost hapa kesho, muone jinsi "The Don" anavyofanya kazi yake. Yaani imekuwa hasara tupu, mwanzo mpaka mwisho. Si kuna mtu aliwahi kusema...
  7. M

    Wanasiasa wa Chama Tawala watafurahi zaidi msipojiandikisha na kupiga kura!

    Nimekuwa nikifanya tathmini kuhusu mfumo wa kisiasa uliopo nchini hapa, hususan sheria zinazohusu masuala ya chaguzi za kisiasa, kuanzia ngazi za serikali za mitaa, hadi ubunge na urais, na nimebaini mambo ambayo yamedhihirisha kwamba, demokrasia iliyopo nchini mwetu ni “kiini macho”...
  8. M

    Rahma Al Kharoos anatafuta Ubunge?

    Waungwana, mtaniwia radhi kwa kutoonekana ukumbini kwa muda mrefu. Nimekuwa nikisoma alama za nyakati ili niweze kuja hapa na mada iliyosheheni hoja za nguvu, si nguvu za hoja. Naanza kwa hili la Mke Mdogo wa Mkuu wa Kaya – nadhani wote mnamtambua, sihitaji kumtaja jina lake – ambaye hivi...
  9. M

    Augustine Lyatonga Mrema BADO ni Mwanachama Hai wa CCM

    Mimi ni mgeni hapa, lakini nimeona nianze post yangu ya kwanza kwa habari hizi njema kwenu. Nimepata habari kwa mtu ambaye alikuwa karibu sana na Mhe. Augustine Lyatonga Mrema, kwamba, Mrema bado ni MWANACHAMA HAI wa CCM. Sababu iliyotolewa na mtu huyo, ambaye ni shuhuda, ni kwamba, siku...
  10. M

    Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

    Mwanakijiji, Kaka, hapa umechemka. Hujasoma alama za nyakati. Waziri Sofia Simba ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya RAIS, Utawala Bora! Upo hapo? Taasisi zote za Utawala Bora (Good Governance), ziko chini yake. Ina maana, hata ripoti za TAKUKURU hazimfikii RAIS bila kupitia kwake, achambue nini RAIS...
Back
Top Bottom