Kam
Khamis ni mjukuu wa Mzee Sued Kagasheki. Khamis Kagasheki na Abdallah Kagasheki ni watu wawili tofauti. Abdallah Kagasheki ndie aliwahi kuwa Balozi. Huyu tunayemuita Balozi Khamis Kagasheki sina hakika kama alipata hadhi ya ubalozi bali alikuwa mkuu ya Idara fulani kule Geneva kwenye...
Kuna mzee mmoja huko Bukoba anaitwa Mzee King, anayo hazina kubwa ya Historia ya wapigania Uhuru kule BuKoba na West Lake Region kwa ujumla kama ilivyojulikana hapo zamani.
Nimekisoma kitabu cha mzee Ruksa. Pamoja na kwamba ni kizuri, kinaeleweka ila kina mpungufu baadhi ya vitu ambavyo ni muhimu sana katika Autobiography. Kwa wale wanaosoma sana vitabu vya historia za watu kama zilivyoandikwa na wao wenyewe atagundua kwamba Mzee Mwinyi hakutenda haki kwenye mambo...
Privatus Karugendo, aliacha upadre baadae akaondolewa hadhi ya upadre kwa tamko rasmi la Baba Mtakatifu (Pope). Hivyo alikuwa ni mlei (muumini wa kawaida). Ndio maana aliweza kufunga ndoa takatifu katika kanisa la Mt. Peter, Oysterbay (Kanisa la Roman Catholic). Kwa hiyo jibu ni rahisi kabisa...
Alipokuwa Mkuu wa Mkoa Kagera, siku moja asubuhi sana alifika kwenye shule ya sekondari Rutabo, Kamachumu Muleba, alikuta wanafunzi na walimu wao wapo kweye morning parade. Akasimamisha gari akawaangalia, walipongia darasani, akaondoka bila hata kumsalimia mtu. Siku hiyo ilikuwa kivumbi, maana...
Binafsi japo sina hela ya maana ila napenda sana American Cars. Nikiona zile Ford pana pana hivi, mara Escalade au zile Chevs nazipenda sana. Kwa nini hazipo nyingi hapa kwetu Tanzania? Japan ni karibu sana na China na pia magari yao sio ghari sana ila China ni kama wana obsession ya American...
Kama unataka engine Oil ya Nissan Extail ambayo haitasumbubua, tafuta Castrol GTX 20W-50. Bei yake ni around 50,000/- kwa litre 5(Unatembea 3000 km before the next service) Kwa Gear box angalia kwenye oil stick imeandikwa matic, ila unaweza kununua nyingine inaitwa Atlantic (ipo kwenye kidebe...
Huyo jamaa yako ametafuta spare gani ikakosa? Mimi nimekaa na Nissan Extrail mwaka huu wa tano, tena niliinunua kwa mtu, ila haijawahi kusumbua. Spaire zake zipo nyingi sana, ukitaka za mtumba au za dukani zote zipo.
Gari hilo linahitaji umakini kidogo tu, mfano specified engine oil na gear...
Kweli kabisa, mafundi wengi hawana ujuzi wa oil gani inatakiwa kwa gari gani. Mimi kawaida huwa oil huwa nanunua mwenyewe(na filter) ndio nampelekea fundi akafanye service! Mambo ya kumuachia gari kwamba nitalipitia au ataniletea, hapana!
Mimi ninayo Extrail, mwaka wa nne huu ipo poa kabisa ila baada ya kuijulia. Bahati mbaya sikuinunua mpya bali niliuziwa na wachina fulani wajanja! Nilipoichukua kwa miezi miwili au mitatu ilikuwa poa, baadae ikaanza kuchemsha nikawa sielewi why maana kila kila kitu kipo poa. Baada ya kuhangaika...
Vitabu vya Willy Gamba vinapatikana sana sasa hivi, nafikiri niliwahi kuviona Mkuki na Nyota pale Samora Avenue. Ila kwa uhakika ukikaa baa kadhaa hasa mitaa ya Mlimani City haipiti saa moja kabla hujamuona machinga anavizungusha, bei haizidi shs 4,000 au 5,000/-
Gear box oil angalia kwenye stick imeandikwa imaitwa MATIC (japo nayo ina categories kulingana na aina ya gari) bei yake ni about 50,000/- per litre. Ila alternatively kuna Oil inaitwa Atlantic Synthetic (CVT) bei yake si kubwa it is around 80,000/- (4 litres) inamwagwa baada ya km 9,000
Gear...
Hivi haya magari ya Ford ni American Cars au yanatengenezwa Japan au nchi nyingine? Maana magari ya kimarekani huwa ni mapana sana ila hizo Ranger na Everest naona zipo kama Japanese cars ambazo ndio common hapa Tanzania.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.